myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 166,767
- 705,461
✔✔
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
✔✔
Nilishakua na bmw 3 series 325ci 2005,nilijionea ninachokisema.
Ni zuri likiwa linatembea lkn likianza shughuli yake uwe njema mfukoni.
Na sijasema Germans cars ni mbovu, ila zinataka preventive maintainance kwa saaaana kuliko Jap cars ambazo hua tunaziburuza tu mwanzo mwisho bila shida.
Hahah nilikua nimezoea kuiburuza cresta mambo ya preventive maintainance hakuna ni kazi kazi, baadae nikasogelea rx-8 kule rotor engine ina vi-masharti vyake(ku-top up engine oil mara kwa mara,kuhakikisha una rev kwny redline daily ili usipate tatizo la flooding etc) then kuja kwny bimmer nikaona haya mambo ya preventive maint. sio mambo yangu nikaikimbia,lkn kadude katamu sana kale mkuu hahahah.Hahahahhahah hizo preventive maintanance sio kipole pole mzee maana ni kila mara.
Hapo ndipo balaa lilipo af maintanace zenyewe sio za buku 10 ya filter na elfu 7 ya fundi 🤣🤣🤣!Hahah nilikua nimezoea kuiburuza cresta mambo ya preventive maintainance hakuna ni kazi kazi, baadae nikasogelea rx-8 kule rotor engine ina vi-masharti vyake(ku-top up engine oil mara kwa mara,kuhakikisha una rev kwny redline daily ili usipate tatizo la flooding etc) then kuja kwny bimmer nikaona haya mambo ya preventive maint. sio mambo yangu nikaikimbia,lkn kadude katamu sana kale mkuu hahahah.
Lexus wana vyuma vikali sana japo bongo watu hawaziingizi sana maana bei zake ni mkasi 🤣 kuliko hata hayo ma BMWSure mkuu lexus/acura/infiniti wanapambana hatari,LS460 kwangu imekaa mkao.
Kweli kabisa, hata ukiangalia comfortability ya Toyota Crown ni almost at par na baadhi ya chuma za mamtoni tu shida inakuwa na limited speedometer tu ya kuishia 180kph kama Japanese standard ila ukipata lexus version yake "LS" inakuwa na speed kubwa tu kama gari za ulaya.Na siku hizi mjapan anajitahidi kubalance vyote. Power, comfort na reliability. Na pia ana Luxury brand kama Lexus kwa upande wa Toyota, Acura upande wa Honda na pia Infiniti upande wa Nissan.
Hizi brand zimeshika kasi sana North America
Kweli mkuu bei zao zimesimama kinyama aisee,wao kule Luxury+reliability ndio home.Lexus wana vyuma vikali sana japo bongo watu hawaziingizi sana maana bei zake ni mkasi [emoji1787] kuliko hata hayo ma BMW
Wabongo wamenukuu saana gar za kijapan hasa toyota ukimletea gar ya kijeruman vw au kiingereza na ziko okay kwenye mafuta na ni luxury anaona unamletea gar ambalo la gharama wanataka toyota hata wapate hata spare za kwenye wanaokata magar
Sent using Jamii Forums mobile app
Gari nyingi za Germany zenye CC sawa na za Japan mostly unakuta za Germany zinakula wese kidogo.
Wabongo wamenukuu saana gar za kijapan hasa toyota ukimletea gar ya kijeruman vw au kiingereza na ziko okay kwenye mafuta na ni luxury anaona unamletea gar ambalo la gharama wanataka toyota hata wapate hata spare za kwenye wanaokata magar
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Vw golf ndio kale kapo kama starletVw golf
Nadhani anafikiri watu wakipanga bei huko Japan na Ulaya wanaangalia kwanza kodi za Tanzania zinasemaje [emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Nilishakua na bmw 3 series 325ci 2005,nilijionea ninachokisema.
Ni zuri likiwa linatembea lkn likianza shughuli yake uwe njema mfukoni.
Na sijasema Germans cars ni mbovu, ila zinataka preventive maintainance kwa saaaana kuliko Jap cars ambazo hua tunaziburuza tu mwanzo mwisho bila shida.
Hakohako tena kawe vw golf GTI moto wake barabarani sio wa kitoto mzee.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Vw golf ndio kale kapo kama starlet
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hio likitajwa neno preventive maintainance kwako inakuja picha ya Spark Plug ya buku 4 sio?
Inaelekea umeamua kubisha. Resale value ndogo haina uhusiano na kodi za Tanzania hata kama tunaongelea tanzania, kumbuka hizi gari haziuzwi hala nchini na huko nje haziuzwikwa ajili ya watanzania tu.