Mazda kwanini hazipendwi Tanzania ilhali bei yake ipo chini?

Mazda kwanini hazipendwi Tanzania ilhali bei yake ipo chini?

Ni kwa sababu ya reliability. Europeans cars ni nzuri sana hasa kwenye comfort, power and speed. Shida inakuja kwenye uimara na hapo ndio mjapan anapompiga gape.
Kabisa mkuu,na mtu akinunua Toyota mostly ameamua ku-sacrifice hizo mambo za power/confortability kwa ajili ya reliability.
 
Kabisa mkuu,na mtu akinunua Toyota mostly ameamua ku-sacrifice hizo mambo za power/confortability kwa ajili ya reliability.
Na siku hizi mjapan anajitahidi kubalance vyote. Power, comfort na reliability. Na pia ana Luxury brand kama Lexus kwa upande wa Toyota, Acura upande wa Honda na pia Infiniti upande wa Nissan.

Hizi brand zimeshika kasi sana North America
 
Sure mkuu lexus/acura/infiniti wanapambana hatari,LS460 kwangu imekaa mkao.
 
Kaangalie kodi yake ndo utaupata utamu
Ingia be forward sasa hivi,Bmw 7 series ya 2009(full leather;sunroof) CIF yake ni $2300 wkt huo hapo hapo Be forward Toyota Carina ya 1997 inauzwa hio hio $2,300 ikiwa na Km 145,000?

Unadhani ni kwanini Gari iliyokua ni flagship ya bmw tena model ya 2009 ilingane bei na gari 1 baya baya hivi la huko Toyota tena la mwaka 1997?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Attachments

  • 15656164-3F90-4081-B191-B959AC2978C8.jpeg
    15656164-3F90-4081-B191-B959AC2978C8.jpeg
    92.3 KB · Views: 34
Takataka za kijapan ni imara kuliko gari ya ulaya?

Unaota ww

Sent using Jamii Forums mobile app

Kizuri chajiuza kibaya chajitembeza. Reliability kwenye gari za Ulaya na maintenance cost ni ishu, sio bongo tu hata huko Ulaya kwenyewe na Marekani. Gari za ulaya huwa zinaongoza kwa comfortability na safety ratings tu, vingine muhimu ni gari za Japan tu.

Na zitakuwepo sana. Watu watashift tu toka toyota kwenda Nissan kwenda Subaru. Landrover, BMW na Benz hizi gari ni kwa watu wenye pesa nyingi ya kutumia kwenye maintenance ya gari.

Na Duniani watu hao wako wachache. Kwa kifupi kama tunaongelea reliability gari za Ulaya ndio tutaita takataka (kwa lugha yako)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mjomba wacha utani Benz sio reliable? BMW sio reliable? Audi sio reliable? Tatizo bongo hakuna mafundi.
Kwa sababu gari za toyota ni reliable. Izo za miaka ya 90 ni reliable kuliko BMW/Merc za miaka ya karibuni.
Zina low cost of maintainance. Izo brand kama BMW na MERC, AUDI na wenzao, gari zao zina depreciate kwa haraka sana. Unaweza kupata 2002 BMW 7 series kwa $1500 (bei ya gari tu) ambayo ni flagship model yenye features ambazo Markx, Camry na Crown haziingii ndani, unajua kwanini? Kwa sababu sio reliable, zinaharibika mara moja, service cost ni ghali, spare zake ni ghali ila ukija kwa toyota ni story nyengine.

Bei za magari mengine ndio sio reasonable, ila toyota, kwa kitu ambacho unadumu nacho miaka 20-30 zipo reasonable.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ingia be forward sasa hivi,Bmw 7 series ya 2009(full leather;sunroof) CIF yake ni $2300 wkt huo hapo hapo Be forward Toyota Carina ya 1997 inauzwa hio hio $2,300 ikiwa na Km 145,000?

Unadhani ni kwanini Gari iliyokua ni flagship ya bmw tena model ya 2009 ilingane bei na gari 1 baya baya hivi la huko Toyota tena la mwaka 1997?
Mkuu hata kwenye page za biashara ya magari za kibongo fb na instagram,naona audi,volkwagen zinauzwa bei sawa na i.s.t!
 
Nina Mercedes compressor toka 2006 mpaka leo inanisaidia sana kwa safari za hapa bongo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nilishakua na bmw 3 series 325ci 2005,nilijionea ninachokisema.

Ni zuri likiwa linatembea lkn likianza shughuli yake uwe njema mfukoni.

Na sijasema Germans cars ni mbovu, ila zinataka preventive maintainance kwa saaaana kuliko Jap cars ambazo hua tunaziburuza tu mwanzo mwisho bila shida.
 
Mjomba wacha utani Benz sio reliable? BMW sio reliable? Audi sio reliable? Tatizo bongo hakuna mafundi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa gari tunanunua ili tuendeshe ama tunanunua ili tushindane kwenda gereji mkuu? Kwa logic tu gari nzuri ni lipi kati ya hizi:

1.Inayokongoroka na kwenda kwa fundi mara kwa mara ikiwa ni aghali kuitengeneza. Kiasi kwamba unahitaji kujipanga kwa muda mrefu kidogo ili kuirudisha barabarani?

2. Gari inayodumu barabarani muda mrefu with low maintainance cost?

European brands are leading in reliability issues compared to Japanese automaker, Toyota amabaye Reliability ni priority.

Imagine naendesha Toyota, baada ya mvua kufululiza sana mguu mmoja umeanza kugonga shock-absorber ni ya kufanya replacement...ila hainizuii mie kuendesha gari yangu! Najua ni kiasi cha kununua kipuri kwa gharama nafuu kabisa napata japanese quality mchezo umeisha.

Ila ingekuwa BMW hapo na mvua hizi ma checklight yangewaka kila kona mpaka kwenda kuyazima ni malaki ukijumlisha na vipuri vyake ni mamilioni ya pesa.
 
Back
Top Bottom