Mazda kwanini hazipendwi Tanzania ilhali bei yake ipo chini?

Subaru na Nissan hususani X trail watu walikuwa wanaziogopa sana wadau humu wakasema ukinunua xtrail haliuziki[emoji1787][emoji1787]

Leo yamejaa kibao kitaa

Sent using Jamii Forums mobile app

Xtrail zimeshuka sana bei kwa sababu demand ilishuka na nadhani ndo sababu zikanunuliwa sana pia. Case yake ni tofauti kidogo na Subaru ambazo pamoja na maintenance na spare zake kuwa ghali kidogo kuliko toyota nyingi tulizozoea huwa hazisumbui.

Kusema ukweli kuna magari kwa watanzania wengi ukiwa nayo yatakusumbua sana hasa haya Ulaya, maintenance ni ghali na yako sophisticated sana.

Hivyo watu wengi hupenda kuchagua kitu salama. Kwa mawazo yangu muda mwingine ni bora kuchagua upande salama kulingana na uwezo na ufahamu wa mtu husika.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa upande wa Nissan spea feki zimeshaanza kuenea na zinauzwa bei ya kawaida......

Hapa watu wawe makini....wengi wanapigwa feki kwa bei ya genuine wakiamini Nissan hazina spea feki...
I am talking this through personal experience...

Sent using Jamii Forums mobile app
Tanzania shida sana.

Bora uende kwa dealer moja kwa moja.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
BMW 7 series kwa $1500? Acha kutufunga kamba basi

Hizo gari ni ngumu zaid ya mitoyota lakin kwel spare zake ni ghali lakin nying ni genuine tofaut na mitoyota spare zake fake kila mwaka unafunga.

Kwa sababu gari za toyota ni reliable. Izo za miaka ya 90 ni reliable kuliko BMW/Merc za miaka ya karibuni.
Zina low cost of maintainance. Izo brand kama BMW na MERC, AUDI na wenzao, gari zao zina depreciate kwa haraka sana. Unaweza kupata 2002 BMW 7 series kwa $1500 (bei ya gari tu) ambayo ni flagship model yenye features ambazo Markx, Camry na Crown haziingii ndani, unajua kwanini? Kwa sababu sio reliable, zinaharibika mara moja, service cost ni ghali, spare zake ni ghali ila ukija kwa toyota ni story nyengine.

Bei za magari mengine ndio sio reasonable, ila toyota, kwa kitu ambacho unadumu nacho miaka 20-30 zipo reasonable.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Xtrail zimeshuka sana bei kwa sababu demand ilishuka na nadhani ndo sababu zikanunuliwa sana pia. Case yake ni tofauti kidogo na Subaru ambazo pamoja na maintenance na spare zake kuwa ghali kidogo kuliko toyota nyingi tulizozoea huwa hazisumbui.
Kusema ukweli kuna magari kwa watanzania wengi ukiwa nayo yatakusumbua sana hasa haya Ulaya, maintenance ni ghali na yako sophisticated sana. Hivyo watu wengi hupenda kuchagua kitu salama. Kwa mawazo yangu muda mwingine ni bora kuchagua upande salama kulingana na uwezo na ufahamu wa mtu husika.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo uliposema toyota nyingi hazisumbui napinga kidogo....
Toyota zinasumbua kama magari mengine ya Kijapan yanavyosumbua...

Unafuu wa Toyota unaoneka pale ambapo kuna winging wa spea feki za kichina kila kona ya mji/majiji...

Mtu anamiliki mathali Corrolla, anauziwa Wheel bearing elfu 35...

Nadhani hii sababu ndiyo iliyoipa Toyota umaarufu sana Tanzania kwa sababu ukiwa na laki 2 unaweza kubadilisha vikorokoro kibao ambavyo havita dumu zaidi ya miezi 6....

Unlike other brands like Nissan, Subaru, Honda,Mazda na nyinginezo...Spea za haya magari nyingi ni genuine, feki ni chache saaana....

Woga wa Watazania kuhusu brands nyingine unaegemea kwenye sababu kuu mbili..

1....Toyota ina spea za bei rahisi
2....Toyota inauzika

Kichaka kingine watu wanachotumia kujifichia kwenye toyota ni neno RELIABILITY.....kwa sababu wanapata mpaka spark plug za 4500/-

Lakini Kwa uhakika most of Japanese cars especially Toyota,Nissan, Subaru, Suzuki are reliable ndiyo maana gari zote hizi zinafanya vizuri kwa mazingira ya Tanzania japo zinapishana kwa nyota...kuna yenye nyota 4.5, 4, 3.5 n.k.

Mwisho, hakuna gari baya kama una hela za kulifanyia maintenance stahiki..

Ila kama hela inasumbua, hata ile carina T.I ambayo inaaminika ni roho ya paka, itakusumbua akili na utasema Toyota ni mbaya..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimepitia Comments za wadau.. nyingi sio Technical Analysis.

Ntachukulia Case study MAZDA rx8.

Mazda Engine yake ni Tofaut na hizi engine za gari zingine Subie mpk Toyota.

Engine ya Mazda rx8 ni Rottary engine..

Engine za Rottary mafundi wake ni wachache sana hapa Tz..
Ndio maana ukizunguka ktk gerej nyingi utazikuta mazda zimelala.

Pia Rottary engine ina kikomo chake cha matumizi ikitembea kms fln inatakiw itolewe

Ila kwa gari jamii ya toyota huwa inafanyiw overall tu.. mzgo unakuw mpya.

Technically answered.

Turud kwa sababu zingine

+Uoga na elimu ndg juu ya Mazda

+uchache wa wamiliki wa gari hizi.

+ Kasumba ya Upatikanaj wa Spare (ingawa zipo nyingi)

+miundombinu sio rafiki.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi binafsi naendesha hiyo mazda ila mmh aisee linapokuja swala la spare, ni bajeti ambayo inabidi kujipanga hasa, kwa kweli inatulia hela mno japo haisumbui sumbui lakini linapotokea kitu kimeharibika au kimechoka inabidi kubadilisha jasho litakutoka hadi kwenye meno, kwanza kukitafuta kifaa mpaka ukipate ni shughuli nyingine, hiyo bei sasa nayon i habari nyingine
 
Ni lile swali la kipi kianze kati ya yai na Kuku.

Kwamba Watu wamiliki kwanza Magari ya aina fulani ndio Waleta Spare waongezeke, au Waleta Spare waanze kwanza kuagiza spare za aina fulani ya Gari kwa wingi ndio Watu nao wapate imani na kuagiza hayo Magari.

Kuna sehemu nimefika Gari zinazotamba ni Suzuki, Kia, Mitsubishi....sasa kama spare ingekuwa ni tatizo sidhani kama kuna Mtu anakubali kumiliki tatizo.
 
Nimepitia Comments za wadau.. nyingi sio Technical Analysis.

Ntachukulia Case study MAZDA rx8.

Mazda Engine yake ni Tofaut na hizi engine za gari zingine Subie mpk Toyota.

Engine ya Mazda rx8 ni Rottary engine..

Engine za Rottary mafundi wake ni wachache sana hapa Tz..
Ndio maana ukizunguka ktk gerej nyingi utazikuta mazda zimelala.

Pia Rottary engine ina kikomo chake cha matumizi ikitembea kms fln inatakiw itolewe..
Sio mazda zote mfano hii cx-5 engine yake ni skyactive technology, engine inayosemekana ni very economical na efficient
 
Kwasababu wananunua spare feki au second grade.

Spare original za Toyota hazina utofauti na Nissan au BMW.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hata spare original za toyota ni rahisi kuliko za Nissan au BMW. labda unipe mfano wa spea ipi bei zinafanana.

hizi hapa ni screenshot ya timing belt tu ya Camry 2020 na BMW 7 series.

Capture.PNG
Capture1.PNG
 
BMW 7 series kwa $1500? Acha kutufunga kamba basi

Hizo gari ni ngumu zaid ya mitoyota lakin kwel spare zake ni ghali lakin nying ni genuine tofaut na mitoyota spare zake fake kila mwaka unafunga.

Sent using Jamii Forums mobile app
Utakuwa unaishi kwa mtogole basi wewe.

Hii hapa ya $1500

Capture.PNG

Na hazina ugumu wowote mbele ya toyota. Hizi gari zimekuwa packed with luxury features na modern tech lakini ni magari ambayo yanaumiza kichwa, yana high running cost. Ebu fanya oil service ya 50,000 kwenye BMW afu uje utupe mrejesho umedumu nalo hadi lini!

Toyota 50,000 unafanya oil change service na unadunda nayo kitaa bila kusumbua chochote.

Halafu someni reviews za haya magari uone watu wanavolalamika.
 
Utakuwa unaishi kwa mtogole basi wewe.

Hii hapa ya $1500

View attachment 1421956

Na hazina ugumu wowote mbele ya toyota. Hizi gari zimekuwa packed with luxury features na modern tech lakini ni magari ambayo yanaumiza kichwa, yana high running cost. Ebu fanya oil service ya 50,000 kwenye BMW afu uje utupe mrejesho umedumu nalo hadi lini!

Toyota 50,000 unafanya oil change service na unadunda nayo kitaa bila kusumbua chochote.

Halafu someni reviews za haya magari uone watu wanavolalamika.

Kuna watu naona wamenibishia ila hizi gari nyingine za ukaya hasa BMW ni money pit ila gari nyingi za kijapani hasa zinazokuja Africa haziko hivi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapo uliposema toyota nyingi hazisumbui napinga kidogo....
Toyota zinasumbua kama magari mengine ya Kijapan yanavyosumbua...

Unafuu wa Toyota unaoneka pale ambapo kuna winging wa spea feki za kichina kila kona ya mji/majiji...

Mtu anamiliki mathali Corrolla, anauziwa Wheel bearing elfu 35...

Nadhani hii sababu ndiyo iliyoipa Toyota umaarufu sana Tanzania kwa sababu ukiwa na laki 2 unaweza kubadilisha vikorokoro kibao ambavyo havita dumu zaidi ya miezi 6....

Unlike other brands like Nissan, Subaru, Honda,Mazda na nyinginezo...Spea za haya magari nyingi ni genuine, feki ni chache saaana....

Woga wa Watazania kuhusu brands nyingine unaegemea kwenye sababu kuu mbili..

1....Toyota ina spea za bei rahisi
2....Toyota inauzika

Kichaka kingine watu wanachotumia kujifichia kwenye toyota ni neno RELIABILITY.....kwa sababu wanapata mpaka spark plug za 4500/-

Lakini Kwa uhakika most of Japanese cars especially Toyota,Nissan, Subaru, Suzuki are reliable ndiyo maana gari zote hizi zinafanya vizuri kwa mazingira ya Tanzania japo zinapishana kwa nyota...kuna yenye nyota 4.5, 4, 3.5 n.k.

Mwisho, hakuna gari baya kama una hela za kulifanyia maintenance stahiki..

Ila kama hela inasumbua, hata ile carina T.I ambayo inaaminika ni roho ya paka, itakusumbua akili na utasema Toyota ni mbaya..

Sent using Jamii Forums mobile app
Uzi ufungwe umemaliza kila kitu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa sababu gari za toyota ni reliable. Izo za miaka ya 90 ni reliable kuliko BMW/Merc za miaka ya karibuni.
Zina low cost of maintainance. Izo brand kama BMW na MERC, AUDI na wenzao, gari zao zina depreciate kwa haraka sana. Unaweza kupata 2002 BMW 7 series kwa $1500 (bei ya gari tu) ambayo ni flagship model yenye features ambazo Markx, Camry na Crown haziingii ndani, unajua kwanini? Kwa sababu sio reliable, zinaharibika mara moja, service cost ni ghali, spare zake ni ghali ila ukija kwa toyota ni story nyengine.

Bei za magari mengine ndio sio reasonable, ila toyota, kwa kitu ambacho unadumu nacho miaka 20-30 zipo reasonable.
Shukran

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom