mi_mdau
JF-Expert Member
- Oct 29, 2010
- 1,170
- 1,708
Subaru na Nissan hususani X trail watu walikuwa wanaziogopa sana wadau humu wakasema ukinunua xtrail haliuziki[emoji1787][emoji1787]
Leo yamejaa kibao kitaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Xtrail zimeshuka sana bei kwa sababu demand ilishuka na nadhani ndo sababu zikanunuliwa sana pia. Case yake ni tofauti kidogo na Subaru ambazo pamoja na maintenance na spare zake kuwa ghali kidogo kuliko toyota nyingi tulizozoea huwa hazisumbui.
Kusema ukweli kuna magari kwa watanzania wengi ukiwa nayo yatakusumbua sana hasa haya Ulaya, maintenance ni ghali na yako sophisticated sana.
Hivyo watu wengi hupenda kuchagua kitu salama. Kwa mawazo yangu muda mwingine ni bora kuchagua upande salama kulingana na uwezo na ufahamu wa mtu husika.
Sent using Jamii Forums mobile app