Mazda kwanini hazipendwi Tanzania ilhali bei yake ipo chini?

Hahahahhahah hizo preventive maintanance sio kipole pole mzee maana ni kila mara.
 
Hahahahhahah hizo preventive maintanance sio kipole pole mzee maana ni kila mara.
Hahah nilikua nimezoea kuiburuza cresta mambo ya preventive maintainance hakuna ni kazi kazi, baadae nikasogelea rx-8 kule rotor engine ina vi-masharti vyake(ku-top up engine oil mara kwa mara,kuhakikisha una rev kwny redline daily ili usipate tatizo la flooding etc) then kuja kwny bimmer nikaona haya mambo ya preventive maint. sio mambo yangu nikaikimbia,lkn kadude katamu sana kale mkuu hahahah.
 
Hapo ndipo balaa lilipo af maintanace zenyewe sio za buku 10 ya filter na elfu 7 ya fundi 🤣🤣🤣!

Kumwaga oil tu ni hesabu za laki, utie Liqui Molly ukiweka Oryx unatafuta shida ingine ya kurembewa dashboard na vitaa taa kama mti wa xmas! Aisee wenye hela za kutupa waendelee sie wagumu tuta stay real na maisha 🤣🤣🤣 Toyota anyday!
 
Na siku hizi mjapan anajitahidi kubalance vyote. Power, comfort na reliability. Na pia ana Luxury brand kama Lexus kwa upande wa Toyota, Acura upande wa Honda na pia Infiniti upande wa Nissan.
Hizi brand zimeshika kasi sana North America
Kweli kabisa, hata ukiangalia comfortability ya Toyota Crown ni almost at par na baadhi ya chuma za mamtoni tu shida inakuwa na limited speedometer tu ya kuishia 180kph kama Japanese standard ila ukipata lexus version yake "LS" inakuwa na speed kubwa tu kama gari za ulaya.
 
Kuna muda ukiona watu wengi wanafanya kitu ambacho unahisi ni cha kipumbavu,unatakiwa ukae chini ukitafakari upya hicho kitu. Bongo sio kwamba watu hawana michuzi ya kununua visu vya wazungu la hasha, na usidhani watu wooote hao hawaoni kuwa kabulu ana ndinga nzuri na zenye majina kuliko macho madogo.

Sijapata uwezo wa kumiliki gari sema huu uzi umenifundisha kuwa, siku mungu akiweka baraka zake nikawa na uwezo wa kununua gari yangu ya kwanza sitoleta shobo na gari ya mzungu.
 
Lexus wana vyuma vikali sana japo bongo watu hawaziingizi sana maana bei zake ni mkasi [emoji1787] kuliko hata hayo ma BMW
Kweli mkuu bei zao zimesimama kinyama aisee,wao kule Luxury+reliability ndio home.
 
Wabongo wamenukuu saana gar za kijapan hasa toyota ukimletea gar ya kijeruman vw au kiingereza na ziko okay kwenye mafuta na ni luxury anaona unamletea gar ambalo la gharama wanataka toyota hata wapate hata spare za kwenye wanaokata magar

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu kuna gari ya uingereza au ujerumani ambayo ni economical?
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu kuna gari ya uingereza au ujerumani ambayo ni economical?

Sent using Jamii Forums mobile app
Gari nyingi za Germany zenye CC sawa na za Japan mostly unakuta za Germany zinakula wese kidogo.

So kwny wese German cars zinashinda.

NOTE: hapa naongelea hizi gari zetu za kawaida sio za huko kwny performance cars.
 

Mi nina uzoefu na gari za Ulaya na Japan ingawa ni uzoefu mdogo. Ishu sio mafuta, tunaongelea uhakika wa safari kabla dashboard haijaanza kuwashawasha taa za alert na gharama za maintenance. Mjapan katufaa sana kwenye haya maeneo


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unafurahia kununua spark plug za 4500 kwny toyota?


Ha ha ha haaa
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Thread inaongelea Tanzania ,au ushasahau topic inahusu nn?

Sent using Jamii Forums mobile app
Inaelekea umeamua kubisha. Resale value ndogo haina uhusiano na kodi za Tanzania hata kama tunaongelea tanzania, kumbuka hizi gari haziuzwi hala nchini na huko nje haziuzwikwa ajili ya watanzania tu.

Na kuna sababu kwa nini zina resale value ndogo. Ukisema kwamba haya magari hasa BMW hayana resale value ndogo kwa kuwa wewe unajumlisha na kodi ya tanzania haina mashiko.

Hata Tanzania kuna wengine wana exemption kwa hiyo bado wanaweza kuyapata kwa bei hiyo hiyo ndogo.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…