Car4Sale Mazda Premancy inauzwa

Car4Sale Mazda Premancy inauzwa

KANYEGELO

JF-Expert Member
Joined
Nov 12, 2019
Posts
2,238
Reaction score
4,885
  • Mazda ya 2008,
  • CC2000,
  • KM 122000,
  • Full AC,
  • Insurance hadi February 2022,
  • Tairi zote nne mpya zikiwa na sports rims,
  • Full music system ikiwa na subwoofer ya 1800wts,
  • Aplefire,
  • Android na Closover.
  • Bei ni 11.5m
  • Location ipo DSM
  • Simu 0765652806

IMG-20210720-WA0000.jpg
IMG-20210720-WA0015.jpg
IMG-20210720-WA0004.jpg
IMG-20210720-WA0008.jpg
IMG-20210720-WA0002.jpg
 
mkuu umesahau kuweka . kwenye 11
 
Hawezi kuja kuuza gari used ya 115M hapa JF, wakati wengi tuna miliki gari chini ya 10M na wengine baiskeli,Bajaj na wengine wanamiliki miguu yao tu.!!
Kaka ni makosa kidogo nilisahau nukta nimerekebisha 11.5
 
  • Thanks
Reactions: Lee
Nina hiyo premancy na nina cx5 sijawahi kujuta kumiliki hii brand
Kama wewe umeweza kumiliki haimaanishi kua kila mtu ataweza. Kimsingi hakuna gari duniani ambayo haiwezi kutembea popote1 maana ktk dunia ya utandawazi unaweza kupata vipuri hata singapore. Ila tuzungumze ukweli...mazda ni gari ngumu kupata vipuri tena angalau ukiwa nayo dar ila kwa wamikoani aisee mazda siwashauri
 
Back
Top Bottom