Msumari Wa Shaba
JF-Expert Member
- Sep 9, 2024
- 595
- 786
Balaa
Mbadala wa Cx kwa ToYOTa ni upi kwa bei na kila kitu.Hizi chuma za Mazda lazima uwe na namba ya kila fundi wa gereji
Kwa uzoefu wangu kwa Africa kama unanunua SUV za Japan ruka na TOYOTA na sio NISSAN wala MITSUBISHI au MAZDA na pacha wake ISUZU
Mbadala wa Cx kwa ToYOTa ni upi kwa bei na kila kitu.
DuuhKwa Mazda iliyo kwenye bandiko mbadala wake tembea na chuma RAV4 Hybrid XLE Premium
Wanatumia Hybrid?Duuh
Hii gari ya wakulima wa Moshi....
RAV4 kwa nafasi na fuel consumption sawa.
Hybrid sawa.Wanatumia Hybrid?
Endelea kukaa hapo garage na takataka lakoKauli za wasioweza ku afford, sizitaki mbichi hizi
Kaka si ununue fortuner nije nioshe🤣😂Tokea wazindue 2012, Mazda CX-5 wameuza unit 4,761,329 na imekua ndio best selling Mazda lineup hivi karibuni.
Kuna jamaa ali weka uzi wa kuagiza magari, naona ya 2016 ali weka 35m agiza kakaTokea wazindue 2012, Mazda CX-5 wameuza unit 4,761,329 na imekua ndio best selling Mazda lineup hivi karibuni.
Shida ni EV hapa tz ni waoga kweliHatimaye Mazda wamezindua 3rd gen ya SUV yake pendwa duniani, CX-5 Itakayoanzwa kuuzwa mwaka 2026.
View attachment 3403066
Mazda CX-5 itakuja na option ya 2.5L engine Petrol na 2.5L Skyactiv-Z engine Hybrid itatoka kuanzia 2027 na option ya Diesel mtaendelea kusubiria.
View attachment 3403070
Kwa muonekano wa nje imeongezeka ukubwa kutoka kwa 2nd gen, na pia imezidi kufanana na CX-50 na CX-70. Muonekano mwingine umebaki “almost” ule ule uliozoeleka.
View attachment 3403071
Kwa ndani Mazda naona amebadirisha muonekano wa screen na kaweka mpya kubwa ya 15” na ikiwa na UI kutoka Google, kwahiyo Maps, Chrome, na App zingine za Google zitakuja moja kwa moja.
View attachment 3403068
Pia, Mazda wameacha baadhi ya capacitive buttons kwenye steering wheel ila physical buttons wamezitoa. Na kama haitoshi pale mbele ya cockpit haina button ata moja. So kucontrol AC, radio, wipers, etc ni kupitia kwenye screen (kama Tesla)!
View attachment 3403072
Wapenzi wa Mazda tuisubirie na hii kama vipi.
Edits:
Kutoka Mazda, bei ya kuuza (MSRP) itakua $32,000 hadi $37,000 tu.
Kwanini wameondoa buttons, wao wamesema “wateja ndio mmeomba”.
Ile chuma nime iangalia nika sema nisije uza majengo ya kataa ndoa na jobless pro maxJana nimeshinda Youtube naiangalia. SUV sio gari zangu ila Toyota wapewe heshima yao aisee.
Si bora we uta ambiwa msukule, mimi naweza ambiwa nahusika na uuzaji wa mali za chamaRaisi mimi nikiagiza watajua nimegeuza mtu msukule.
Kuna Moja nimesafiri nayo toka DSM mpaka Morogoro umetumia lita Moja,fuel for charging the unitKuna wakuu wenye pesa wamejilipua. Tesla, Hummer EV, na Leaf.
Last option iwe PHEV