Mazda wamezindua 3rd generation CX-5: Ina option ya Hybrid na Hakuna buttons kwenye cockpit!

Kaka zungumza jambo kuhusu Honda Vezel....hii gari nimetokea kuikubali, vipi kuhusu budjet ake hadi mkononi
Juzi nimekutana nayo mitaa ya Kamata kwenye yard ya be forward hakika honda vezel imekaa vizuri Sana design yake
 
Hata subaru (forester) wakati zinaanza kuingia Tz miaka ile haya maneno yalisikika sana na wengi mlisema service ni mpaka Nairobi ila vijana wa Arusha wakathibitishia kuwa siyo kweli. Leo hii subaru zimejaa kila mahali. Ndiyo maana ukienda miji kama Kigali, Nairobi unakuta chuma latest, bongo ni Toyota 99% na ni RAV4, Harrier, IST, RAUM, SPACIO na Sedans za toyota na kwa uchache SUV kubwa chachechache. Na hii inasababishwa na mafundi kutotaka kuumiza vichwa kwa kuji upgrade na kubadilika na tecknolojia.....ndiomaana wote tumekariri kuwa gari ni toyota. Hujiulizu gari mjapan kaitumia miaka mi5 au 7, ila ikifika tuu bongo tatizo kidogo tuu la service inazua matatizo chungu nzima. Issue ipo kwenye mafundi wanaofanya service, madereva au kwenye gari?
Ukiona gari lina mafundi wanajiita “wabobezi”, kimbia.

Mfano Dkt Mazda, Mazda Garage, Wataalam wa BMW, au VW.
 
Hata subaru (forester) wakati zinaanza kuingia Tz miaka ile haya maneno yalisikika sana na wengi mlisema service ni mpaka Nairobi ila vijana wa Arusha wakathibitishia kuwa siyo kweli. Leo hii subaru zimejaa kila mahali. Ndiyo maana ukienda miji kama Kigali, Nairobi unakuta chuma latest, bongo ni Toyota 99% na ni RAV4, Harrier, IST, RAUM, SPACIO na Sedans za toyota na kwa uchache SUV kubwa chachechache. Na hii inasababishwa na mafundi kutotaka kuumiza vichwa kwa kuji upgrade na kubadilika na tecknolojia.....ndiomaana wote tumekariri kuwa gari ni toyota. Hujiulizu gari mjapan kaitumia miaka mi5 au 7, ila ikifika tuu bongo tatizo kidogo tuu la service inazua matatizo chungu nzima. Issue ipo kwenye mafundi wanaofanya service, madereva au kwenye gari?
Kaka shida sio gari umeongea hakika kabisa shida ni watanzania wenyewe

1. Mafundi
2. Tunanunua gari zinazozidi uwezo wetu (hii ni kubwa sana) wengi tanzania hatuna utamaduni kwa kiuchumi kuishi sawasawa na maisha yetu au vipato. Almost waafrika wengi hii pia wanayo
Sisi tunanunua ili umkoge mtu kesho , ujitanue viwanja waone una pesa lakini ndani unalia sana, gari inakupasua .

Nakwambia laiti serikali ingekaza tu usimamizi na ukaguzi wa magari bila shaka watu wangeishia kumiliki (wengi) IST

Nakupa mfano Japan service za gari zinatuzwa kabisa huwezi vusha service kwakuwa wakati wa ukaguzi wa lazima (shaken) utapigwa penalty, hivo service haitegemei umeamkaje service ni sheria.

Sasa gari imeishi Japan miaka 10 maana wengi tunanunua gari zinazoanzia miaka 10 nakuendela. Na japan ambacho hatujui gari inaweza kuwa ndani ya miaka hio 10 imepita mikono kibao kwakuwa wana system ya kuendesha gari kwa kukodisha. lakini pamoja na yote hayo, gari inakuja bongo safi kabisa (kwenye injini) ikifika bongo mwezi hauishi unasikia zimejaa gareji / imeenda gereji😁 yani miaka 10 mpk inakuwa exported ina pass ukaguzi leo imekaa Tz wiki tayari imetaga ? Sasa shida ni gari au alieichukua gari?

Gari zinakuja na manual Tz nani huwa anasoma hata manual ya gari kujua requirements?

Kwakuwa nipo Japan ( mwezi uliopita) nilikwenda kwa dealership ya Mazda hapa Yokohama nikaongea nao kuhusu shida zinazotusumbua huko Afrika

Yule bwana alishangaa sana akaniambia hizi mazda zote hapa used unazoona watu wameendesha wamerudisha sokoni hazina tatizo zote zime pass mandatory service na zina shaken.

Kwahiyo shida sio mazda/gari shida ni mafundi wanaojifunza kwakuaharibu sana kabla ya kupatia. Mbili wabongo kununua gari wakipata tu vimkopo mtu ndio kaanza kazi anakopa anavuta Mazda, anajisifu gari hapa dar bana sio starehe ni kifaa cha kazi, mshahara kabaki na laki 7, take home.

hio gari mafuta anawela lita mbili mbili yani akiingia petrol station anaweka lita 5 na hapo taa ilishawaka. Kama huamini jiulize kwa nini wengi walikimbilia mazda cx 5 diesel badala ya petrol? (Kipato duni).

Gari service ya laki 5 kwa mwezi anataka a minimize iwe ya elfu 70 tu
Oil elfu 50, filters elfu 8 fund elfu 5

Gari ya kisasa itadumuje? Tuishi ndani ya uwezo wetu japan majority wanamiliki vi kei car cc600 unaweza shangaa sio kwamba hizo gari za bei hawapati wanapata hadi kwa mikopo ya miaka 15 bila riba au single digit riba lakini kwasababu tu ya gharama za umiliki wa gari ikiwepo parking watu wanaendeshe vi kei car 🚗 na maisha yanaenda.

Pili wana culture na wanafundishwa mpk shule kuishi low profile. Hakuna kujikweza. Jilinganishe na mwingine kisha miee almost sawa . Unaweza kaa na tajiri pembeni yako lakini unamuona sawa tu anaswampa mpk kwenye tren na raia wengine very normal
 
Yani yapo hapa Kinondon Garage fulan hivii mpk nawaonea HURUMA wamiliki wa hayo Matakataka😀😂😀😂
Mh navyoziita takataka, hao ni wale ambao hawaziwezi jamani. Gari nzuri hizo... ila uwe na pesa ya kuihudumia.
 
Muulize huyo anaesema takataka ana miliki gari gani hana hata pikipiki ya Haojue😄 lakini yupo JF kuuta gari ya milion 30 plus takataka
 
Hatimaye Mazda wamezindua 3rd gen ya SUV yake pendwa duniani, CX-5 Itakayoanzwa kuuzwa mwaka 2026.
View attachment 3403066
Mazda CX-5 itakuja na option ya 2.5L engine Petrol na 2.5L Skyactiv-Z engine Hybrid itatoka kuanzia 2027 na option ya Diesel mtaendelea kusubiria.
View attachment 3403070
Kwa muonekano wa nje imeongezeka ukubwa kutoka kwa 2nd gen, na pia imezidi kufanana na CX-50 na CX-70. Muonekano mwingine umebaki “almost” ule ule uliozoeleka.
View attachment 3403071
Kwa ndani Mazda naona amebadirisha muonekano wa screen na kaweka mpya kubwa ya 15” na ikiwa na UI kutoka Google, kwahiyo Maps, Chrome, na App zingine za Google zitakuja moja kwa moja.
View attachment 3403068
Pia, Mazda wameacha baadhi ya capacitive buttons kwenye steering wheel ila physical buttons wamezitoa. Na kama haitoshi pale mbele ya cockpit haina button ata moja. So kucontrol AC, radio, wipers, etc ni kupitia kwenye screen (kama Tesla)!
View attachment 3403072
Wapenzi wa Mazda tuisubirie na hii kama vipi.

Edits:
Kutoka Mazda, bei ya kuuza (MSRP) itakua $32,000 hadi $37,000 tu.

Kwanini wameondoa buttons, wao wamesema “wateja ndio mmeomba”.
Zikifika unijulishe mapema sana
 
Kaka shida sio gari umeongea hakika kabisa shida ni watanzania wenyewe

1. Mafundi
2. Tunanunua gari zinazozidi uwezo wetu (hii ni kubwa sana) wengi tanzania hatuna utamaduni kwa kiuchumi kuishi sawasawa na maisha yetu au vipato. Almost waafrika wengi hii pia wanayo
Sisi tunanunua ili umkoge mtu kesho , ujitanue viwanja waone una pesa lakini ndani unalia sana, gari inakupasua .

Nakwambia laiti serikali ingekaza tu usimamizi na ukaguzi wa magari bila shaka watu wangeishia kumiliki (wengi) IST

Nakupa mfano Japan service za gari zinatuzwa kabisa huwezi vusha service kwakuwa wakati wa ukaguzi wa lazima (shaken) utapigwa penalty, hivo service haitegemei umeamkaje service ni sheria.

Sasa gari imeishi Japan miaka 10 maana wengi tunanunua gari zinazoanzia miaka 10 nakuendela. Na japan ambacho hatujui gari inaweza kuwa ndani ya miaka hio 10 imepita mikono kibao kwakuwa wana system ya kuendesha gari kwa kukodisha. lakini pamoja na yote hayo, gari inakuja bongo safi kabisa (kwenye injini) ikifika bongo mwezi hauishi unasikia zimejaa gareji / imeenda gereji😁 yani miaka 10 mpk inakuwa exported ina pass ukaguzi leo imekaa Tz wiki tayari imetaga ? Sasa shida ni gari au alieichukua gari?

Gari zinakuja na manual Tz nani huwa anasoma hata manual ya gari kujua requirements?

Kwakuwa nipo Japan ( mwezi uliopita) nilikwenda kwa dealership ya Mazda hapa Yokohama nikaongea nao kuhusu shida zinazotusumbua huko Afrika

Yule bwana alishangaa sana akaniambia hizi mazda zote hapa used unazoona watu wameendesha wamerudisha sokoni hazina tatizo zote zime pass mandatory service na zina shaken.

Kwahiyo shida sio mazda/gari shida ni mafundi wanaojifunza kwakuaharibu sana kabla ya kupatia. Mbili wabongo kununua gari wakipata tu vimkopo mtu ndio kaanza kazi anakopa anavuta Mazda, anajisifu gari hapa dar bana sio starehe ni kifaa cha kazi, mshahara kabaki na laki 7, take home.

hio gari mafuta anawela lita mbili mbili yani akiingia petrol station anaweka lita 5 na hapo taa ilishawaka. Kama huamini jiulize kwa nini wengi walikimbilia mazda cx 5 diesel badala ya petrol? (Kipato duni).

Gari service ya laki 5 kwa mwezi anataka a minimize iwe ya elfu 70 tu
Oil elfu 50, filters elfu 8 fund elfu 5

Gari ya kisasa itadumuje? Tuishi ndani ya uwezo wetu japan majority wanamiliki vi kei car cc600 unaweza shangaa sio kwamba hizo gari za bei hawapati wanapata hadi kwa mikopo ya miaka 15 bila riba au single digit riba lakini kwasababu tu ya gharama za umiliki wa gari ikiwepo parking watu wanaendeshe vi kei car 🚗 na maisha yanaenda.

Pili wana culture na wanafundishwa mpk shule kuishi low profile. Hakuna kujikweza. Jilinganishe na mwingine kisha miee almost sawa . Unaweza kaa na tajiri pembeni yako lakini unamuona sawa tu anaswampa mpk kwenye tren na raia wengine very normal
Shida ni mafundi hawajui wanachofanya.....

Pasua vichwa na wengi wana tabia za wazimbabwe....hawakuambii hawajui kitu hadi waharibu.

Tatizo lingine lipo kwenye import na local.....ukifuatilia magari mengi yanayoishi garage ni imports....local zinaishi kwasababu zimetengenezwa kukidhi mahitaji ya hapa.

Ila mafundi pasua vichwa.
 
Back
Top Bottom