Mazee... Demu wangu kanifurahisha kinyama!!

Mkuu mbona maneno ya kawaida tu kuambiwa,
Ana maslahi na wewe ndio maana hataki kukupoteza

Ila ni vyema kuwa positive hivyo hata kama anamaslahi mapana
Maisha yenyewe mafupi
 
Siyo rahisi hivyo boya wewe! Endelea kuvimba bichwa ...


Sasa unanitukana nimekufanyaje mzee... Unaona wivu mie kusifiwa eeeeeh....
Mwambie demu wako na wewe akusifie basi ufurahi...

[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG] Eng.
 
Mkuu mbona maneno ya kawaida tu kuambiwa,
Ana maslahi na wewe ndio maana hataki kukupoteza

Ila ni vyema kuwa positive hivyo hata kama anamaslahi mapana
Maisha yenyewe mafupi


Mkuu Ramsonii.... Una maana gani unaposema vyema kuwa positive....
Yaani niendelee naye, nimpige chini.....

[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG] Eng.
 
Chali angu hakuna demu boya kiasi hicho atakae kubali umuache kirahis namma hyo hapo kajifanya kukuelezea hisia zake za uongo ili asiaibike coz kwanza kuachwa ni mkos so chakufanya ili asiachwe ni kukudanganya hivyo lakin anajua ipo siku utajamwacha tuu so round hii tegemea kuachwa ww. Sa hv ashagundua huna mpango nae na humpendi . Sahv anajipanga taratibu ghafla atakupiga chin na hutaamin . HUYO DEM SIO NDEZ KAMA UNAVYOMFIKIRIA
 
Mkuu Ramsonii.... Una maana gani unaposema vyema kuwa positive....
Yaani niendelee naye, nimpige chini.....

[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG] Eng.
Endelea kuwa naye huku ukiamini anakupenda kinyama!hapo ndio utakuwa positive,
Ingawa inawezekana hakupendi ila hataki kuzipoteza pesa zako ila hayo wewe usiyawaze wewe jua tu anakupenda kinyama yani,
Utaishi maisha marefu sana
 


Khaaaaaaaa..... Mbona mambo mswano tuuu kama ndio hivo!!!!
Akinipiga chini ndio atakua ameni rahisishia kazi sasa, maana sina future naye....
Mie natafuta mwanamke Bikra bana.... Thats my first priority....

[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG] Eng.
 
Hata hao ex zake alikuwa anawaambia hivyo hivyo.. na bado akapigwa chini..
 
Ushoga symptoms detected
 
Kumwamini cc* duu ni sawa na kuamini kuwa uchaguzi huu raisi wa marekani lazima awe Hillary Clinton hata kama trump kesha shinda
 
ww jamaa una umri gan? mbona huish kujisifia sifia katika post zako...badilika kiongozi
 
Mkikua mutaacha na rafiki yako stunter
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…