Mazee... Demu wangu kanifurahisha kinyama!!

And who told u that we always mean what we say
shokolomageni
 
Hata hao ex zake alikuwa anawaambia hivyo hivyo.. na bado akapigwa chini..


Hakupigwa chini bana... Anasema yeye ndio aliwapiga chini.....
Umeona hapo?????? Mie kidume wewe... Demu kanikubali.... Usinonee wivu mzee....
Niko juu... Kama kichuguu....

[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG] Eng.
 
Mijitu mingine bana.... Sasa hapo ushoga unaingia vipi....
Shoga mie au huyu demu wangu mzee....

Au unanitafuta tu mchana huu....
Nitakuibukia huko uliko nikupige Pump wewe mpaka uimbe a e i o u...

[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG] Eng.
We ushaona wap mwanaume halis anapenda kusifiwa? Dalili za ushoga hzo shaul yako tafuta tiba mapema
 
Hakupigwa chini bana... Anasema yeye ndio aliwapiga chini.....
Umeona hapo?????? Mie kidume wewe... Demu kanikubali.... Usinonee wivu mzee....
Niko juu... Kama kichuguu....

[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG] Eng.
Na wewe akishakutumia atakupiga chini...
 
ww jamaa una umri gan? mbona huish kujisifia sifia katika post zako...badilika kiongozi

ACHA UJINGA WEWE!!!
Najisifia au nimesema nasifiwa na demu wangu.... Au unasoma kulia kwenda kushoto!!
We najua umenionea wivu tuu...

[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG] Eng.
 
Ladies are very good pretenders ndugu yangu,ni waongo,nachukia mtu kusema uwongo wakati ukweli anao,bora me mtu aniambie ukweli simfikishi popote kuliko sifa za uwongo baadaye tukigombana anasema vitu tofauti,either ili anaikwaze au ndio ukweli wenyewe!
 
Afadhali.... Ni wadada wachache sana humu wasio na chuki namie... Mmojawapo ni wewe.
So much... So much Luv you. From the bottom of my heart.

[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG] Eng.
Ila chief unapenda sifa asee
Ningekua mchawi ningeibuka hadi ulipo ili nione ulivyo handsome
 
Yani Maneno tu Yashakujaza upepo, ukute hata wengine pia waliwahi Kuambiwa hivo hivo..
 
Hautujui sie aiseee tunaweza kupretend kuliko unavyofikiria
 
Itakua we bado ni mgeni na huwajui wanawake hata kidogo mkuu
Hizo kauli za kawaida sana na inaonesha unaweza kua tricked kirahisi sana na mwanamke
 
Moja Kati Ya makosa Mbayo utaja kuyafanya ni Pamoja na Hili La Kuamini Maneno ya Wanawake... take care of that, Huyo sio Mama yako ohooooo.....
 
Ila chief unapenda sifa asee
Ningekua mchawi ningeibuka hadi ulipo ili nione ulivyo handsome


πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Cheki tu avatar yangu hapo.... Then nipe marks...

[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG] Eng.
 
Kweli bana, tuwe waungwana tusijemharbia furaha yake huyu mkuu. Twende tukakae pale chini ya mwembe!


Nyie si mwanamke na mwanaume nyie.... Shauri yenu.....

[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG] Eng.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…