Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata hao ex zake alikuwa anawaambia hivyo hivyo.. na bado akapigwa chini..
We ushaona wap mwanaume halis anapenda kusifiwa? Dalili za ushoga hzo shaul yako tafuta tiba mapemaMijitu mingine bana.... Sasa hapo ushoga unaingia vipi....
Shoga mie au huyu demu wangu mzee....
Au unanitafuta tu mchana huu....
Nitakuibukia huko uliko nikupige Pump wewe mpaka uimbe a e i o u...
[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG] Eng.
AmenChief Engineer, you need deliverance seriously.
Na wewe akishakutumia atakupiga chini...Hakupigwa chini bana... Anasema yeye ndio aliwapiga chini.....
Umeona hapo?????? Mie kidume wewe... Demu kanikubali.... Usinonee wivu mzee....
Niko juu... Kama kichuguu....
[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG] Eng.
ww jamaa una umri gan? mbona huish kujisifia sifia katika post zako...badilika kiongozi
No, unahitaji kufunguliwa mkuu.Aunti cjaelewa una maanisha nini.... Kwamba nahitaji nini... Kujifungua???
[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG] Eng.
Mwenzangu tuhame mwenye Uzi tunamwaribiaHahahaha, kweli mkuu huenda kiyama kinajongea upande wetu tartiibu!
Ladies are very good pretenders ndugu yangu,ni waongo,nachukia mtu kusema uwongo wakati ukweli anao,bora me mtu aniambie ukweli simfikishi popote kuliko sifa za uwongo baadaye tukigombana anasema vitu tofauti,either ili anaikwaze au ndio ukweli wenyewe!Niaje Wazeiyaaaaaaaaah....
EBANA SAWA:
Mnajua nini??? Mie nina demu wangu... sawa mazee!!
Na huyu demu wangu is that kind of a girl like many other girls are:
"used".
Sasa kama mnavojua msimamo wangu wa:
Sitokuja kuoa mwanamke used kamwe... Labda NIFE.
Na kila kukicha huwa napiga makelele sana humu kuwasihi vijana wenzangu wasioe wanawake used kwani madhara yake ni mengi, mabaya na yanajulikana....
Na kwa kuwa aina ya mwanamke nayemuhitaji mie for real life hapatikani kirahisi rahisi (kama navowapataga mademu wengine akiwamo huyu) nikaona daaah mwanaume nisije nikafa kwa punyeto bureee... Wakat natafuta my future wife (BIKRA) let me hang out with this girl for a while (just for leisure).
Mmeona hapo???????
SASA BASI:
Muda wa kuwa serious umefika sasa... I am tired with this leisure relationship...
Kwanza gharama tuu.. Halafu nakosa freedom kufanya mitkasi yangu kibao...
Na inakua ngumu kupata future wife wakat bado niko kwenye active bond na huyu bibie...
Nafanyeje sasa???? Nampiga chini kila mtu ashike 50 zake ki roho safi kabisaaa...
Juzi Alhamisi usiku nikamtext:
Chief: Jay.... Mi naona relation yetu haina future nzuri... Naona ni bora kila
mtu akawa free... But tutaendelea kupeana support until everyone has moved on...
Bibie: No.. Chief... Sitaki kukupoteza hata kidogo. Nilipokupata nilijua wewe ndio mwanaume
wangu wa mwisho, sitompenda mwingine mpaka nakufa.
Chief: Najua... Lakin mie naona sitoweza.. Mind yangu inakataa kabisa.
Bibie: No plz... Chief nakupenda kuliko watu wote nilowahi kuwa nao. Tusiachane.
Basi alivonitumia hiyo text ya mwisho mwenzenu nimefurahi kinyama...
Mnajua kwanini?????
Demu anapokuambia anakukubali wewe kuliko mashkaji yote yaliyompitia maana yake nini:
1. Mimi nina msugua ipasavyo kuliko huto tushkaji... Anapagawa.
2. Mimi ni handsome kuliko huto tu ex twake.
3. Kiuchumi niko juu compared na huto tujamaa..
4. Kifupi mie niko more romantic yani!!
Yaani mazee nimefurahi kinyama nilivo ambiwa hivo..
Nimezidi kujisikia katika wanaume namie nimo. Nahesabika. Demu kadata. Kapagawa.
Niko juuu...
At least naanza kufikira kubadili uamuzi wangu endapo akiendelea kunisifia namna hiyo.
[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG] Eng.
Chifu...Ndio.. Nilifata ushauri wenu tatizo likaisha... Ndio maana demu kanikubali kinyama....
Zoezi kwa sana, Punyeto pitia kuleee, dona kwa sana, chipsi yai tupa hukooo...
[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG] Eng.
Ila chief unapenda sifa aseeAfadhali.... Ni wadada wachache sana humu wasio na chuki namie... Mmojawapo ni wewe.
So much... So much Luv you. From the bottom of my heart.
[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG] Eng.
Kweli bana, tuwe waungwana tusijemharbia furaha yake huyu mkuu. Twende tukakae pale chini ya mwembe!Mwenzangu tuhame mwenye Uzi tunamwaribia
Ila chief unapenda sifa asee
Ningekua mchawi ningeibuka hadi ulipo ili nione ulivyo handsome
Kweli bana, tuwe waungwana tusijemharbia furaha yake huyu mkuu. Twende tukakae pale chini ya mwembe!