Mazee, kila nikimkumbuka ex-gf wangu lazima nijilipue, hii imekaaje!!?

Padri Mcharo

JF-Expert Member
Joined
Feb 28, 2015
Posts
1,899
Reaction score
3,688
Niaje wazeiyaaah...
Mko Bwaxx..

EBANA SAWA :
Mnakumbuka nikiwaambiaga kuwa nilikua na demu (first lover) toka mwaka 2011 mpaka mwaka huu mwanzon.... Huyo manzi (actually she is 6 years younger than me) nilianza kumgegedua tangu yuko form two (mie nimemaliza six by that time)

Basi toka hiyo form two nilikua namgegedua tuuu mpaka anamaliza four, kafeli mie ninae tuu (kila nikienda likizo au field kutoka chuo naenda najipozea likizo nzima)

Anyway that's not the big deal.
And here is the deal....

Baada ya kuamua kumpiga chini early this year (kadogo kanapenda penda hela pamoja na vijimapungufu vingine nikaona hakafai kuwa ka wife material)
Basi soon ghafla bin vuuu haikupita hata Mwezi nikaopoa manzi mwingine mkali mzuri (nalingana nae age)
Hapendi pendi hela, ana akili za kiutu uzima (very ideal wife material for sure)

Baada ya historia fupi hapo juu,

TATIZO NI HIVI
C mnajua tena mapenz ya first lover yalivo.. Yaan hata kama akimpata barafu wa moyo yupi, yule wa kwanza hatoki akilini (tena afadhali yetu sie wanaume)
Sasa sometimes akija akilini (especially mida ya night hivi nimelala)
Nikikumbuka nilivokua namgegedua kwa tangu kule Tabora mpaka alivohamia kambi ya Mizinga moro basi kwa kasi ya AJABU
Hisia huwa zinani panda (na bahat mbaya manzi wangu mpya silali nae nyumba moja) basi NAJIKUTA nimenyakua mto au taulo najilipua ka goli kamoja pyuuuuu mawazo yanaisha na usingiz huoooo nalala.

Mazee nifanyeje niondokane na huu ugonjwa????
Jana tu nimejilipua usiku.
nimechoka kujigegedua jamani..

Tiririkeni maushauri yenu mazuri mazuri hapa chini.

[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG] Eng
 
Ushauri mzuri ni kuoa tu, kwa sasa ww endelea kujilipua tu" halafu suala la msingi, achana na zinaa kabisa!
Serious Huyo hajatendwa aiseeh umemukaataa kwa utashi wako. Hiyo ulinayo ni psychological effect kuitoa ni ngumu sana labda uwahi kuoa tuuh kijana kabla huujaasilika zaidi.
 
Tafuta kazi ya kuku-keep busy man, night unarudi umechoka unaangusha, kidogo itakupunguzia mawazo.

Ukishindwa kabisa kupata kazi ya kukuweka busy basi by the time unaanza kumuwaza cheza hata game kwenye cm au pc yako, hizo zote zikigonga mwamba basi hakikisha unapokumbatia mto usisahau na ndomu, muhimu sana hyo
 
Somehow unafeel guilt kwa kumgegedua miaka yote io afu mwaka huu ndo ugundue sio wife material kwa kigezo cha yeye kupenda pesa . . .
Uko kujilipua ni pepo lako tu la uzinzi&na ni moja kati ya muendelezo wa chama chenu kinachokua kwa kasi miaka hii [emoji117]CHAPUTA
 
Hii dhana ya first love kua eti ngumu kumsahau sio kweli!

hujatendwa ukatendeka weeee!

unaona nuksi hata kivuli chake!
Hii kitu ni ngumu sana kumtoa moyoni mpenzi wako wa kwanza!

Mim niliachwa na mpenzi wangu wa kwanza hadi leo na miaka 7 sijawahi kudumu na msichana hata week 1, nikikutongoza leo wiki ikiisha nikimkumbuka yule aliyeniacha fasta nakupotezea! Nilimpenda sana aisee
 
Mkuu itakuwa amekuroga ndio maana humsahau tafuta mganga akusaidie.
 
hujakutana na wanaojua kupenda tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…