Mazee, kila nikimkumbuka ex-gf wangu lazima nijilipue, hii imekaaje!!?

Mazee, kila nikimkumbuka ex-gf wangu lazima nijilipue, hii imekaaje!!?

Kujigegeda wakati mtu halisi yupo ni udhaifu,mfuate,mwambie kisha mpe dozi.
 
nilishalia,nikalizwa tena hao kenge wote sihitaji kuwaruhusu wanishike hata nywele tena..

I'm moving my life!!

No first love no anything huwezi ng'ang'ania km luba!

Moyo wangu ukipenda utapenda kweli mwnyw utafurahi na moyo wako

But once I say its oveeeerr!

I mean it!mapenzi ya kweli ni mzazi na mtoto ndo mtasameheana!
Ooooooh kumbe!!!
 
ngumu mno. wengine mafesti lavu walikuwa mabaamedi lakini kuna siku wanavuruga kichwa.
Hahahaaaa!! Mie first love wangu ni mpenzi wangu wa pili na kamwe siwezi kumsahau, na mbaya zaidi ni hakuniumiza.
 
Mi siwezi kuendekeza hisia za kike Tatizo lako umemtafta mbaya kuliko wa kwanza Et MTU mzima azidiwe na kifaranga kwenye Mamboz Naona hapo kwa MTU mzima upo ki. Economic factor, Tafta mdogo zaidi yake first love na awe mkali zaidi yake Yaani kuna mademu wakali saana hasa akivua nguo tu yaani ni baraa tu show inaanza palepele ila kama uliyonae ni polygon lazima umkumbuke wa kwanza,,Hiyo Mara nyingi IPO.kwa demu tu but not for Real men
 
Hii dhana ya first love kua eti ngumu kumsahau sio kweli!

hujatendwa ukatendeka weeee!

unaona nuksi hata kivuli chake!
Word.yani mimi 1st wangu namchukia nikimuona naskia hasira sana simpendi jamani nasijawi kumuwaza wala kutamani chochote in short once an ex always an x sitaki mazoea
 
Hii kitu ni ngumu sana kumtoa moyoni mpenzi wako wa kwanza!

Mim niliachwa na mpenzi wangu wa kwanza hadi leo na miaka 7 sijawahi kudumu na msichana hata week 1, nikikutongoza leo wiki ikiisha nikimkumbuka yule aliyeniacha fasta nakupotezea! Nilimpenda sana aisee
Kupitia huu uzi nimeamin mim ni the ndi ndi ndi !!!!!!nyuma crud.labda cjui kupenda
 
Niaje wazeiyaaah...
Mko Bwaxx..

EBANA SAWA :
Mnakumbuka nikiwaambiaga kuwa nilikua na demu (first lover) toka mwaka 2011 mpaka mwaka huu mwanzon.... Huyo manzi (actually she is 6 years younger than me) nilianza kumgegedua tangu yuko form two (mie nimemaliza six by that time)

Basi toka hiyo form two nilikua namgegedua tuuu mpaka anamaliza four, kafeli mie ninae tuu (kila nikienda likizo au field kutoka chuo naenda najipozea likizo nzima)

Anyway that's not the big deal.
And here is the deal....

Baada ya kuamua kumpiga chini early this year (kadogo kanapenda penda hela pamoja na vijimapungufu vingine nikaona hakafai kuwa ka wife material)
Basi soon ghafla bin vuuu haikupita hata Mwezi nikaopoa manzi mwingine mkali mzuri (nalingana nae age)
Hapendi pendi hela, ana akili za kiutu uzima (very ideal wife material for sure)

Baada ya historia fupi hapo juu,

TATIZO NI HIVI
C mnajua tena mapenz ya first lover yalivo.. Yaan hata kama akimpata barafu wa moyo yupi, yule wa kwanza hatoki akilini (tena afadhali yetu sie wanaume)
Sasa sometimes akija akilini (especially mida ya night hivi nimelala)
Nikikumbuka nilivokua namgegedua kwa tangu kule Tabora mpaka alivohamia kambi ya Mizinga moro basi kwa kasi ya AJABU
Hisia huwa zinani panda (na bahat mbaya manzi wangu mpya silali nae nyumba moja) basi NAJIKUTA nimenyakua mto au taulo najilipua ka goli kamoja pyuuuuu mawazo yanaisha na usingiz huoooo nalala.

Mazee nifanyeje niondokane na huu ugonjwa????
Jana tu nimejilipua usiku.
nimechoka kujigegedua jamani..

Tiririkeni maushauri yenu mazuri mazuri hapa chini.

[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG] Eng
Cha kufanya acha kupiga puli'Ni hatari kwa afya
 
Bahati kuu uliyo nayo ni kuwa jahazi la ubongo wako wewe ndio nahodha wake.......
Hilo jambo unalolilalamikia hapa lipo ndani ya uwezo wako.....kwa maana unatakiwa uaache ubongo wako uji update.....

Kutokana na wewe kuruhusu fikra hizo mara kwa mara umejikuta tayari umeshakuwa teja wa fikra hizo.....
 
hivi wewe unajua daraja la sarender litaanza kujengwa next year na litakuwa na km7???????
 
Hii dhana ya first love kua eti ngumu kumsahau sio kweli!

hujatendwa ukatendeka weeee!

unaona nuksi hata kivuli chake!

Wewe ndo hutosahau!!!

Hakuna a better way to end a relationship than on mutual consent...ni rahisi mno ku moe one!

Ukishajihisi 'unakereka' kumsikia/kumuona...think twice!!!
 
Bahati kuu uliyo nayo ni kuwa jahazi la ubongo wako wewe ndio nahodha wake.......
Hilo jambo unalolilalamikia hapa lipo ndani ya uwezo wako.....kwa maana unatakiwa uaache ubongo wako uji update.....

Kutokana na wewe kuruhusu fikra hizo mara kwa mara umejikuta tayari umeshakuwa teja wa fikra hizo.....
Brother kikulachochako leo kwa mara ya pili nakupost nakukubali sana mkuu. Kwa hapa jamii forum mpo kama 6 kabla ya kujiunga na baada ya kujiunga huna mpinzani.

Uwepo wako humu Jf naendelea kujifunza mengi kila siku. Naikitokea siku wanatoa tunzo humu Jf basi wewe ndo namba1. Big up brother
 
Mzee vitatu Huwa nashindwa kabisa yaan..
Huwa nakamia kabisa "Leo nilivo na nyege hivi lazima nipige vitatu...."

Najikuta napiga kamoja chalii.... Naanza kujilaumu "aaaaah sasa ndio nimefanya nini, leo mwanzo na mwisho"

Cha AJABU another day napiga tena.
WE UNAWEZA KUJILIPUA VITATU KWA MPIGO???

[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG] Eng
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Wewe ndo hutosahau!!!

Hakuna a better way to end a relationship than on mutual consent...ni rahisi mno ku moe one!

Ukishajihisi 'unakereka' kumsikia/kumuona...think twice!!!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] naongelea ile eti mmeachana

mkikutana au ukimuona tu unalegea

au haupigi bao mpk umuwaze loohh!!

hiyo ya maelewano ipo sana tu Ila si kukubali nisaliti mahusiano mapya kisa ex

hapana
 
  • Thanks
Reactions: Pep
Back
Top Bottom