Mazee, kila nikimkumbuka ex-gf wangu lazima nijilipue, hii imekaaje!!?

Kujigegeda wakati mtu halisi yupo ni udhaifu,mfuate,mwambie kisha mpe dozi.
 
Ooooooh kumbe!!!
 
ngumu mno. wengine mafesti lavu walikuwa mabaamedi lakini kuna siku wanavuruga kichwa.
Hahahaaaa!! Mie first love wangu ni mpenzi wangu wa pili na kamwe siwezi kumsahau, na mbaya zaidi ni hakuniumiza.
 
Mi siwezi kuendekeza hisia za kike Tatizo lako umemtafta mbaya kuliko wa kwanza Et MTU mzima azidiwe na kifaranga kwenye Mamboz Naona hapo kwa MTU mzima upo ki. Economic factor, Tafta mdogo zaidi yake first love na awe mkali zaidi yake Yaani kuna mademu wakali saana hasa akivua nguo tu yaani ni baraa tu show inaanza palepele ila kama uliyonae ni polygon lazima umkumbuke wa kwanza,,Hiyo Mara nyingi IPO.kwa demu tu but not for Real men
 
Hii dhana ya first love kua eti ngumu kumsahau sio kweli!

hujatendwa ukatendeka weeee!

unaona nuksi hata kivuli chake!
Word.yani mimi 1st wangu namchukia nikimuona naskia hasira sana simpendi jamani nasijawi kumuwaza wala kutamani chochote in short once an ex always an x sitaki mazoea
 
Kupitia huu uzi nimeamin mim ni the ndi ndi ndi !!!!!!nyuma crud.labda cjui kupenda
 
Cha kufanya acha kupiga puli'Ni hatari kwa afya
 
Bahati kuu uliyo nayo ni kuwa jahazi la ubongo wako wewe ndio nahodha wake.......
Hilo jambo unalolilalamikia hapa lipo ndani ya uwezo wako.....kwa maana unatakiwa uaache ubongo wako uji update.....

Kutokana na wewe kuruhusu fikra hizo mara kwa mara umejikuta tayari umeshakuwa teja wa fikra hizo.....
 
hivi wewe unajua daraja la sarender litaanza kujengwa next year na litakuwa na km7???????
 
Hii dhana ya first love kua eti ngumu kumsahau sio kweli!

hujatendwa ukatendeka weeee!

unaona nuksi hata kivuli chake!


Wewe ndo hutosahau!!!

Hakuna a better way to end a relationship than on mutual consent...ni rahisi mno ku moe one!

Ukishajihisi 'unakereka' kumsikia/kumuona...think twice!!!
 
Brother kikulachochako leo kwa mara ya pili nakupost nakukubali sana mkuu. Kwa hapa jamii forum mpo kama 6 kabla ya kujiunga na baada ya kujiunga huna mpinzani.

Uwepo wako humu Jf naendelea kujifunza mengi kila siku. Naikitokea siku wanatoa tunzo humu Jf basi wewe ndo namba1. Big up brother
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Wewe ndo hutosahau!!!

Hakuna a better way to end a relationship than on mutual consent...ni rahisi mno ku moe one!

Ukishajihisi 'unakereka' kumsikia/kumuona...think twice!!!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] naongelea ile eti mmeachana

mkikutana au ukimuona tu unalegea

au haupigi bao mpk umuwaze loohh!!

hiyo ya maelewano ipo sana tu Ila si kukubali nisaliti mahusiano mapya kisa ex

hapana
 
Reactions: Pep
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…