Ushasema wewe.kuachana ni kuachana tu. kama hajaachana si angekuoa? mbona mie mpka leo simkumbuki 1lover wangu?
Bora umeongea ukweli, wanaoachana kwa kuumizwa ndio hawasahau ng'ooo. Maana hayo maumivu yanaonyesha ni jinsi gani yako deep.Wewe ndo hutosahau!!!
Hakuna a better way to end a relationship than on mutual consent...ni rahisi mno ku moe one!
Ukishajihisi 'unakereka' kumsikia/kumuona...think twice!!!
unafanya nini huku muda wa prob huu kasongokeSerious Huyo hajatendwa aiseeh umemukaataa kwa utashi wako. Hiyo ulinayo ni psychological effect kuitoa ni ngumu sana labda uwahi kuoa tuuh kijana kabla huujaasilika zaidi.
Mkuu kwa kipindi cha miaka yote hii saba unaishije bila msichana?, au na wewe una jigegeda?Hii kitu ni ngumu sana kumtoa moyoni mpenzi wako wa kwanza!
Mim niliachwa na mpenzi wangu wa kwanza hadi leo na miaka 7 sijawahi kudumu na msichana hata week 1, nikikutongoza leo wiki ikiisha nikimkumbuka yule aliyeniacha fasta nakupotezea! Nilimpenda sana aisee
Tatizo ulianza ngono ukiwa mdogo sana huwez kumkumbukaMi hata cjui alikuwaga mweupe au mweusi nshamshaugu
hahahahahahahahahahaha nimejikuta nacheka kwa nguvuDah, mito itakua ina-enjoy sana
Aiseeeeee!!!Chief Engineer,
Hakuna siku umewahi kunikera humu ndani kama siku uliyomsema huyo ex girlfriend wako wa zamani. Ulimtukana humu kwamba mbaya, umemuacha na mambo mengi sana. Ulidiriki hata kuweka namba yake ya simu, ukamkashifu na kumtukana. Mpaka leo namkumbuka jina lake mrembo huyo. Ni huyo huyo binti aliyeko Morogoro unakokutaja kwenye hii thread yako.
At last you decided to come out of the Box and say what is really troubling you. You have a bruised ego and you are hurt. Deal with your feelings na kama umemkosea muombe msamaha. Ila - I will 'shoot' my daughter if she decides to fall back into the arms of a man like you for the second time. You don't deserve her, you don't deserve to even get her handshake. Get lost!
Kweli....hunikumbuki hata kwa zile special moments?!! Siamini...Nikishasema its over ni over kweli simkumbuki kwa lolote au chochote kile
Kumbe ka list kako kafupi!Hahahaaaa!! Mie first love wangu ni mpenzi wangu wa pili na kamwe siwezi kumsahau, na mbaya zaidi ni hakuniumiza.
Nilishazifuta sema nikipitaga ile sehemu tuliokuwa tunaenda sana kuangalia movie kama nakukumbukamo.....[emoji1] [emoji124]Kweli....hunikumbuki hata kwa zile special moments?!! Siamini...
Nilitaka nishangae...ππNilishazifuta sema nikipitaga ile sehemu tuliokuwa tunaenda sana kuangalia movie kama nakukumbukamo.....[emoji1] [emoji124]
Lini tena tukakumbushie kuangalia movie wote......[emoji6]Nilitaka nishangae...ππ