Katika watu kumi ukiwauliza bingwa wa dunia wa Karate labda mmoja tu ndiyo atamjua. Akiulizwa bingwa wa boxer wa dunia pengine watu 8 watamjua.Kweli kaka.
Krav Maga hatufanyi Show...Tuna surviveKrav maga ni uhuni. Ni martial art pekee ambayo inafundisha kufinya, kung'ata na kukimbia.
Krav maga origin yake ni Urusi. Idea ya krav maga ni kwamba unayepambana naye ana silaha so unatakiwa kushambulia kwa haraka kisha unakimbia.Krav maga, yenyewe inaitwa ,amerikan karate, nayo ni karate tu .
Hahaha na ndiyo maana siiamini kara te. Kara te inakupa speed na accuracy ila haikupi nguvu ya punch so kunakua na less damage compared to other arts.Krav Maga hatufanyi Show...Tuna survive
whatever it takes
Sasa wewe uvamiwe na vibaka 6 utaanza kuruka hung'waaaa hiyaaaaa?
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Krav maga origin yake ni Urusi. Idea ya krav maga ni kwamba unayepambana naye ana silaha so unatakiwa kushambulia kwa haraka kisha unakimbia.
Kung'ata, kufinya, kutumia mawe vyote sawa
Karibu sanaSafi sana.
Ntakutafuta chanika mwisho nitoe kitambi,nijifunze kukwepa,kupiga na mbio kama nikizidiwa kupigana.
Kweli[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
No[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nikweli enzyme hii kitu nimuhimu Sana kujifunza katika maisha, karibu Sana.Dah nipo mbali mkuu ....
napenda Sana kujifunza hizo kitu for self defense.
Vizuri Sana sister, pilipili ,mchanga na maji ya kuwasha, yote ni self defense ipo ndani ya mafunzo ya kujilinda.Mi natembea na pilipili
Krav maga ni uhuni. Ni martial art pekee ambayo inafundisha kufinya, kung'ata na kukimbia.
Upo sahihi kabisaNa hizo ndo mbinu za ugomvi wa mtaani. Karate kwa zaidi ya 60% ipo kimchezo zaidi (sport,) ndo maana Kuna rules lakini katika ugomvi wa mtaani hakuna rules. Chochote kilichokaribu unatumia, kila sehem ya mwil wako inatumika Kama vile meno, kucha, kufinya, n.k
Wachezaji karate weng ukiwabana vzr wanahama kutoka kwenye ugomvi wa kikarate kuja kwenye tifu (ugomvi wa mtaa)
Vitu viwili haviko sawa kwenye huo msimamo wako.Mazeru karate, is unique self defense system,that combines the techniques of karate, ju- jitsu, Kung Fu and other combat systems. These techniques is a simple and effective for self protection.
Mazeru karate is designed to teach Real self defense in two years.
Students learn how to defend against common attack, such as punches, kicks, holds and chokes.
Also learn how to defend against weapon, such as club, knife, pistol And rifle. Mazeru karate is a system of practical techniques and strategies that enable a person to deal with the Treat of enemys in real fighting situation.
View attachment 1645018
Wewe Bado Sana ila endelea kujifunza , utaelewa tu.Vitu viwili haviko sawa kwenye huo msimamo wako.
1. Vidole havikupaswa kuwa hivyo vilivyo..vibane viwe pamoja..hivyo vilivyo adui yako anaweza kuvigonga na kuviathiri.
2. Focus yako haiendani na shambulio..macho yanatazama juu tofauti na mwelekekeo wa kick..
Hayo tu..ukiona yanafaa chukua.
Oss
Au kama upo fiti, njoo na Sanaa yako vitani nikunyooshe- 0717927312 Mimi nipo chanika nafundisha mazeru self defense,Wewe Bado Sana ila endelea kujifunza , utaelewa tu.
Au kama upo fiti, njoo na Sanaa yako vitani nikunyooshe- 0717927312 Mimi nipo chanika nafundisha mazeru self defense,
NdioHivi mwezi mmoja naweza kupata idea hata kidogo na mwili ukawa kimazoezi?