Mazeru Karate

Mazeru Karate

Krav maga, yenyewe inaitwa ,amerikan karate, nayo ni karate tu .
Krav maga origin yake ni Urusi. Idea ya krav maga ni kwamba unayepambana naye ana silaha so unatakiwa kushambulia kwa haraka kisha unakimbia.

Kung'ata, kufinya, kutumia mawe vyote sawa
 
Krav Maga hatufanyi Show...Tuna survive
whatever it takes

Sasa wewe uvamiwe na vibaka 6 utaanza kuruka hung'waaaa hiyaaaaa?

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha na ndiyo maana siiamini kara te. Kara te inakupa speed na accuracy ila haikupi nguvu ya punch so kunakua na less damage compared to other arts.
 
Dah nipo mbali mkuu ....
napenda Sana kujifunza hizo kitu for self defense.
 
Safi sana.
Ntakutafuta chanika mwisho nitoe kitambi,nijifunze kukwepa,kupiga na mbio kama nikizidiwa kupigana.
 
Krav maga origin yake ni Urusi. Idea ya krav maga ni kwamba unayepambana naye ana silaha so unatakiwa kushambulia kwa haraka kisha unakimbia.

Kung'ata, kufinya, kutumia mawe vyote sawa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Krav maga ni uhuni. Ni martial art pekee ambayo inafundisha kufinya, kung'ata na kukimbia.

Na hizo ndo mbinu za ugomvi wa mtaani. Karate kwa zaidi ya 60% ipo kimchezo zaidi (sport,) ndo maana Kuna rules lakini katika ugomvi wa mtaani hakuna rules. Chochote kilichokaribu unatumia, kila sehem ya mwil wako inatumika Kama vile meno, kucha, kufinya, n.k

Wachezaji karate weng ukiwabana vzr wanahama kutoka kwenye ugomvi wa kikarate kuja kwenye tifu (ugomvi wa mtaa)
 
Upo sahihi kabisa
 
Mazeru karate, is unique self defense system,that combines the techniques of karate, ju- jitsu, Kung Fu and other combat systems. These techniques is a simple and effective for self protection.

Mazeru karate is designed to teach Real self defense in two years.

Students learn how to defend against common attack, such as punches, kicks, holds and chokes.

Also learn how to defend against weapon, such as club, knife, pistol And rifle. Mazeru karate is a system of practical techniques and strategies that enable a person to deal with the Treat of enemys in real fighting situation.

View attachment 1645018
Vitu viwili haviko sawa kwenye huo msimamo wako.
1. Vidole havikupaswa kuwa hivyo vilivyo..vibane viwe pamoja..hivyo vilivyo adui yako anaweza kuvigonga na kuviathiri.
2. Focus yako haiendani na shambulio..macho yanatazama juu tofauti na mwelekekeo wa kick..
Hayo tu..ukiona yanafaa chukua.
Oss
 
Wewe Bado Sana ila endelea kujifunza , utaelewa tu.
 
Au kama upo fiti, njoo na Sanaa yako vitani nikunyooshe- 0717927312 Mimi nipo chanika nafundisha mazeru self defense,

Hivi mwezi mmoja naweza kupata idea hata kidogo na mwili ukawa kimazoezi?
 
Back
Top Bottom