Hauna uwezo wowote uleTupo kisheria, vibali vyote tunavyo. Naserikali inafahamu uwepo wetu nchini .kazi yetu nikufundisha self defense , illa kwa wasiotuamini, pia tunawaonesha uwezo wetu kwa kupigana nao.
By: martial artist . Mazeru.
Njoo, ujaribu uwezo wako. Labda upo fiti. Mimi natoka kigoma wewe je?.Hauna uwezo wowote ule
Mazoezi ya kupigana ndio kazi yanguNjoo, ujaribu uwezo wako. Labda upo fiti. Mimi natoka kigoma wewe je?.
Tapeli weweMazoezi ya kupigana ndio kazi yangu
Na ndio Njia ya maisha yangu. Sina kazi zaidi ya kufundisha mbinu za kujihami.
Kigoma ndiyo kitu gani tapeli weweNjoo, ujaribu uwezo wako. Labda upo fiti. Mimi natoka kigoma wewe je?.
Asante .Kigoma ndiyo kitu gani tapeli wewe
Asante.Tapeli wewe
Wacheza karate org. hua wako humble Sana,lugha za hivi za njoo nikunyooshe hawanaga.Au kama upo fiti, njoo na Sanaa yako vitani nikunyooshe- 0717927312 Mimi nipo chanika nafundisha mazeru self defense,
Wapo humble kweli na wanakuwa na nidhamu ya hali ya juu na kumheshimu kila mtu, ila watu wa humu wanamletea kejeli huyu mdau na ndio mana anataka wamtafute akawathibitishie. Halafu sio kama ni ugomvi ni mapigano tuu ya kawaida ambayo hata kwenye mafunzo yapo.Wacheza karate org. hua wako humble Sana,lugha za hivi za njoo nikunyooshe hawanaga.
Nina mashaka.
Mwizi uyoWacheza karate org. hua wako humble Sana,lugha za hivi za njoo nikunyooshe hawanaga.
Nina mashaka.
πππ.......
vipi kuhusu muntay?Hakuna self defense itakayoioiku KRAV MAGA.
Mtu akijifunza karate miaka 2 na mwingine akajifunza krav maga miez 6, huyu wa krav maga atakuwa fiti zaidi ya wa karate.
Kwenye karate wanapoteza muda mwingi kujifunza vitu ambavyo yavitumiki katika real street fighting Kama kata, Mara mazoez ya kupanua misamba ili uweze kurusha mateke ya juu zaidi.
There are no katas to learn in krav maga
In krav maga we recommend low kicks
Njoo . 0717927312Nitakupiga nikupande
Mimi. NAjiaminiWacheza karate org. hua wako humble Sana,lugha za hivi za njoo nikunyooshe hawanaga.
Nina mashaka.
Njoooooooo. AaahTuliza shanga binti kigori,wenzako wote hua wanapiga kelele Kama ww hivi hivi Ila baadae wanaililia mboforo wenyewe.
Hii kitu ni kutoka Israel eeeh?
Njooooooooooooooooooo. Aaaahhhh.Nitakupiga nikupande