Sasa we we ndo huna nidhamu kabisa
Chief. Hii michezo ya martial arts ilitakiwa I we na mashindano kama ilivyo kwenye boxing au kik boxing ili itumike kama ajira kwa vijana. Sio hii ya sasa ambayo haishawishi vijana wengi kuingia maana mazoez ni magumu halafu faida yake haionekani moja kwa mojaNjooooooooooooooooooo. Aaaahhhh.
Nikweli kaka, Lakini sisi wenyewe wasanii wa Sanaa za mapigano, ndio tunarudiha nyuma Sanaa zetu, watu wengi wamekalia majungu tu, nakujiona wao ni Bora kuliko wengine Lakini hawawazi wafanye Nini Ili Sanaa hizi ziwe ni ajira kwao na kizazi kijacho. Mimi naamini Sanaa zote za mapigano ni utajiri, ni pesa ila chamsingi UFahamu vizuri tu mipigo.Chief. Hii michezo ya martial arts ilitakiwa I we na mashindano kama ilivyo kwenye boxing au kik boxing ili itumike kama ajira kwa vijana. Sio hii ya sasa ambayo haishawishi vijana wengi kuingia maana mazoez ni magumu halafu faida yake haionekani moja kwa moja
Andika namba yako ya simu, Mimi nikutafute kwa sababu nimekuja hapo air wing jeshini. Kambini wamesema hawAkujui abisa, labda wewe ni muhuni tu .Sasa we we ndo huna nidhamu kabisa
Kigoma sehemu gani??Kweli kaka.
Inatumika sana huko...nilishawahi kuitumia kupiga msikiti mzimaHii kitu ni kutoka Israel eeeh?
Au inatumika sana na hao jamaa wa uko?
Nasikia iko poa sana
Mskiti Gani huo, au unataka kuleta mambo ya kidini. Katika kurasa yangu, Mimi sitangazi dini hapa.Inatumika sana huko...nilishawahi kuitumia kupiga msikiti mzima
Acha ufala wewe, unataka kuharibu hali ya hewa lwenye huu uzi wa watu.Inatumika sana huko...nilishawahi kuitumia kupiga msikiti mzima
Tulia dogoAcha ufala wewe, unataka kuharibu hali ya hewa lwenye huu uzi wa watu.
Msikiti wa monks china uko walioiva Taekwondo Na Tai chiMskiti Gani huo, au unataka kuleta mambo ya kidini. Katika kurasa yangu, Mimi sitangazi dini hapa.
Naomba Kaa mbali NAMI tafadhali Sana.
Unapitaga na wake za watu nini?Safi sana.
Ntakutafuta chanika mwisho nitoe kitambi,nijifunze kukwepa,kupiga na mbio kama nikizidiwa kupigana.
Chanika mwisho ndio wapi mkuu? Mimi nipo zingiziwaKweli kaka.
Chanika kwa ngware, standChanika mwisho ndio wapi mkuu? Mimi nipo zingiziwa
Hahahaaaaaaahahahahahaaaaaa.Msikiti wa monks china uko walioiva Taekwondo Na Tai chi
Monks na taekwondo wapi na wapi, ni mbalimbali kabisa, no true.Hahahaaaaaaahahahahahaaaaaa.