Mazeru Karate

Mazeru Karate

Njooooooooooooooooooo. Aaaahhhh.
Chief. Hii michezo ya martial arts ilitakiwa I we na mashindano kama ilivyo kwenye boxing au kik boxing ili itumike kama ajira kwa vijana. Sio hii ya sasa ambayo haishawishi vijana wengi kuingia maana mazoez ni magumu halafu faida yake haionekani moja kwa moja
 
Nikweli kaka, Lakini sisi wenyewe wasanii wa Sanaa za mapigano, ndio tunarudiha nyuma Sanaa zetu, watu wengi wamekalia majungu tu, nakujiona wao ni Bora kuliko wengine Lakini hawawazi wafanye Nini Ili Sanaa hizi ziwe ni ajira kwao na kizazi kijacho. Mimi naamini Sanaa zote za mapigano ni utajiri, ni pesa ila chamsingi UFahamu vizuri tu mipigo.
 
Inatumika sana huko...nilishawahi kuitumia kupiga msikiti mzima
Mskiti Gani huo, au unataka kuleta mambo ya kidini. Katika kurasa yangu, Mimi sitangazi dini hapa.
Naomba Kaa mbali NAMI tafadhali Sana.
 
Mskiti Gani huo, au unataka kuleta mambo ya kidini. Katika kurasa yangu, Mimi sitangazi dini hapa.
Naomba Kaa mbali NAMI tafadhali Sana.
Msikiti wa monks china uko walioiva Taekwondo Na Tai chi
 
Back
Top Bottom