Mazingaombwe (Jugglery) ni Sayansi au Uchawi?

Salaam, Kwa muda mrefu nimekuwa nikifuatilia mambo ya mazingaombwe toka kipindi nasoma shule ya msingi maana walikuwa wanakuja shuleni hawa watu wa mazingaombwe mpaka nikashuhudia makaratasi yanabadilishwa kuwa fedha. Akina mshana, mzizi mkavu na wengine wenye uelewa wa mambo haya mchango wenu unahitajika tafadhari
 
kuna vitu huwa ni ujanja na wepesi wa matendo, lakin kuna criss angel huwa sielewi ni nguvu ya ki magic au ni ujanja ujanja, alikuta watu wanaogelea akawaambia 7 kila mmoja achukue karatasi na markpen afikirie herufi yoyote moja na aindike, akawaambia wajipange kwa mstari wakaonyesha zile karatasi, wote walikamilisha neno BELIEVE kwa zile herufi. wewe acha tu
 
Daaa .....nimekula sana peremende zilizotengenezwa kwenye mazingaombwe....ila sijui lengo la serikali kupromote haya mambo ilikuwa nn
 
Hahahaha...!
 
UKATUBU DHAMBI KESHO MZINZI WEWE AYA FANYA UJIANDAE KESHO JUMAPILI
 
Paw Invisible na mods wengine...huyu mtu sijui kama ni timamu, nimeangalia profile yake anatukana kila mahali. Mngempumzisha kidogo nje ya JF
POST YANGU YA KITETO MGOGORO WA WAKULIMA NA WAFUGAJI UMEIONA LAKINI AU HUJAIONA MIMI NDIO NI MWENDA WA ZIMU KESHO NAENDA POLISI KUFUNGUA KESI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…