Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dah noma sanaKwan bagamoyo hawana hii kozi kweli?
Au viatu Ila ni uongo tuuUtaambiwa ugeuze nguo ya ndani..hashindwe ku perfom
hahaha,Itakua ulikula majini mkuuNakumbuka nilikula sana pilau za hawa magicians!
Yaan kuna mmoja alikuwa anakuja skuli kwetu anachukua gazeti, analichanachana, anachukua sahani, anaweka yale magazeti then anaongea maneno yake ya ajabu then linatokea pilau!
Hahaha noma Sana [emoji3]Hawa watu siku hizi hawaji shule ,wanajua wataumbuka ....
Zamani walikuwa wanageuza makaratasi yanakuwa pesa ,lakini cha ajabau wamekodisha ukumbi muingie kwa hela kumbe na wao wanatafuta hela[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wanageuza kokoto kuwa pipi ivory the wanatugawia ...
Saizi wakija lazima niwachore vizur...
Wakikujibu unitagKwan bagamoyo hawana hii kozi kweli?
Kwan bado unasoma ?Hawa watu siku hizi hawaji shule ,wanajua wataumbuka ....
Zamani walikuwa wanageuza makaratasi yanakuwa pesa ,lakini cha ajabau wamekodisha ukumbi muingie kwa hela kumbe na wao wanatafuta hela[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wanageuza kokoto kuwa pipi ivory the wanatugawia ...
Saizi wakija lazima niwachore vizur...
Kanuni za kisayansi huwa zinatumika sana katika kufanya vitu vya kushangaza (magic). Muda mrefu unahitajika katika kujifunza ama kufundishwa pamoja na mazoezi.Hivi wakuu hawa magicians nguvu zao zinazowawezesha kufanya magics wanazitoa wapi/wanazipataje?
Dah,yanafundishwa wapi haya Mambo?Kanuni za kisayansi huwa zinatumika sana katika kufanya vitu vya kushangaza (magic). Muda mrefu unahitajika katika kujifunza ama kufundishwa pamoja na mazoezi.
Ukizifahamu kwa undani kanuni mbalimbali za kisayansi, unaweza kabisa kuwa magician mbele ya macho ya watu wasiofahamu masuala hayo.
Zipo taasisi maalumu zinazofundisha masuala hayo hasa katika nchi zilizoendelea. Isitoshe, siku hizi karibia kila kitu kipo mtandaoni, unaweza ukajifunza huko pia.Dah,yanafundishwa wapi haya Mambo?
Poa poa mkuuZipo taasisi maalumu zinazofundisha masuala hayo hasa katika nchi zilizoendelea. Isitoshe, siku hizi karibia kila kitu kipo mtandaoni, unaweza ukajifunza huko pia.
Na mimi nipo backbencher huku 😎😎Hawa watu siku hizi hawaji shule ,wanajua wataumbuka ....