Mazingaombwe (Jugglery) ni Sayansi au Uchawi?

Hawa watu siku hizi hawaji shule ,wanajua wataumbuka ....

Zamani walikuwa wanageuza makaratasi yanakuwa pesa ,lakini cha ajabau wamekodisha ukumbi muingie kwa hela kumbe na wao wanatafuta hela[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Wanageuza kokoto kuwa pipi ivory the wanatugawia ...


Saizi wakija lazima niwachore vizur...
 
Hahaha noma Sana [emoji3]
 
Kwan bado unasoma ?
 
Hivi wakuu hawa magicians nguvu zao zinazowawezesha kufanya magics wanazitoa wapi/wanazipataje?
Kanuni za kisayansi huwa zinatumika sana katika kufanya vitu vya kushangaza (magic). Muda mrefu unahitajika katika kujifunza ama kufundishwa pamoja na mazoezi.

Ukizifahamu kwa undani kanuni mbalimbali za kisayansi, unaweza kabisa kuwa magician mbele ya macho ya watu wasiofahamu masuala hayo.
 
Dah,yanafundishwa wapi haya Mambo?
 
Na mimi nipo backbencher huku 😎😎

Wakija utanistua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…