hamis77
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 13,628
- 20,992
Sheikh Mazinge sahivi huna tena nguvu ya kumpinga Mwamposa, maana nawe unauza mafuta ya upako
Kwani Ustadhi Mazinge wewe ni mtani wa Wanyakyusa?
Maana unawaandama Wanyakyusa pamoja na Mwamposa, kila hotuba yako sharti umtaje Mwamposa na Wanyakyusa. Ila hoja zako zinaonesha Waislamu hasa wamama ni wadau wazuri wa mikutano ya Wakristo hasa Mwamposa.
Dr. Sule alianzisha maombi staili ya Mwamposa, mkampinga, tena alipohojiwa kuhusu Mwamposa, akasema anamkubali sana.
Sule nilipomsikiliza alidai kwamba, masheikh wanapaswa kufanya huduma staili hiyo kwa uso wa Uislamu ili Waislamu wasikimbilie kwa Wakristo.
Good idea. Lakini akapigwa vita na Waislamu wenzake akiwemo Mazinge, ambaye alimwita Dr. Sule ni mchawi. Ila baada ya kuona Sule anaongezeka kipesa, naye Mazinge akaungana na ustadhi Firdaus Sharifu ambaye naye kaja na staili kama ya Sule. Hivyo Mazinge kaunga juhudi ya kuuza mafuta na maji ya upako akiwa na boss wake yaani Firdaus. Mazinge ameachana na sheikh Kishiki ambaye anapinga huduma hizo, hivyo amejipatia sintofahamu kutoka kwa Waislamu hasa baada ya kumwona kwenye show ya Mwijaku. Usicheze na njaa. Ila naona amefunga vioo sababu ya pesa za upako. Lakini sijui anamwangaliaje Sule ambaye anazidi kuenea kwa utukufu wa majini. Sahivi yupo Kenya katika acount ya Kakuma akitoa uchawi na mapepo kwa staili ya Kilokole.
Hivyo sheikhe Mazinga sasa hana credibility ya kumpinga Mwamposa, maana naye anaishi kwa staili hizo hizo.
Hivyo aache wivu kwa kuwakataza Waislamu hasa wamama wasiende kwa Mwamposa, yeye amwage upako wa kumzidi Mwamposa ili wasiende huko anapowakataza.
Tutaona mengi