Mazinge huna nguvu ya kumpinga Mwamposa, maana nawe unauza mafuta ya upako

hamis77

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
13,628
Reaction score
20,992
Sheikh Mazinge sahivi huna tena nguvu ya kumpinga Mwamposa, maana nawe unauza mafuta ya upako

Kwani Ustadhi Mazinge wewe ni mtani wa Wanyakyusa?

Maana unawaandama Wanyakyusa pamoja na Mwamposa, kila hotuba yako sharti umtaje Mwamposa na Wanyakyusa. Ila hoja zako zinaonesha Waislamu hasa wamama ni wadau wazuri wa mikutano ya Wakristo hasa Mwamposa.

images (32).jpeg

Dr. Sule alianzisha maombi staili ya Mwamposa, mkampinga, tena alipohojiwa kuhusu Mwamposa, akasema anamkubali sana.

Sule nilipomsikiliza alidai kwamba, masheikh wanapaswa kufanya huduma staili hiyo kwa uso wa Uislamu ili Waislamu wasikimbilie kwa Wakristo.

Good idea. Lakini akapigwa vita na Waislamu wenzake akiwemo Mazinge, ambaye alimwita Dr. Sule ni mchawi. Ila baada ya kuona Sule anaongezeka kipesa, naye Mazinge akaungana na ustadhi Firdaus Sharifu ambaye naye kaja na staili kama ya Sule. Hivyo Mazinge kaunga juhudi ya kuuza mafuta na maji ya upako akiwa na boss wake yaani Firdaus. Mazinge ameachana na sheikh Kishiki ambaye anapinga huduma hizo, hivyo amejipatia sintofahamu kutoka kwa Waislamu hasa baada ya kumwona kwenye show ya Mwijaku. Usicheze na njaa. Ila naona amefunga vioo sababu ya pesa za upako. Lakini sijui anamwangaliaje Sule ambaye anazidi kuenea kwa utukufu wa majini. Sahivi yupo Kenya katika acount ya Kakuma akitoa uchawi na mapepo kwa staili ya Kilokole.
images (31).jpeg

Hivyo sheikhe Mazinga sasa hana credibility ya kumpinga Mwamposa, maana naye anaishi kwa staili hizo hizo.

Hivyo aache wivu kwa kuwakataza Waislamu hasa wamama wasiende kwa Mwamposa, yeye amwage upako wa kumzidi Mwamposa ili wasiende huko anapowakataza.

Tutaona mengi
 
Attachments

  • images (33).jpeg
    images (33).jpeg
    59.9 KB · Views: 7
Vuka na chako ndio habari ya mjini leo

Wewe sheikh Nzige kaa pembeni 😁
 
Nchi hii hata ukisaga kinyesi ukakiita jinalolote na kukipa umbo lolote utakalo utauza tu, cha msingi uwaambie watanzania,Waambie ni dawa inasaidai kuongeza nguvu za kiume, wasiona watoto watapata, inasaidia kuondoa mikosi, inaleta bahati, utapanda cheo kazini, ukitumia utapa mke/mume, utapona magonjwa sugu,n.k

Huwezi kukosa wateja milioni moja.
 
Sishangai, mtume S.A.W alisema jihadi kubwa kabisa ni baina ya mtu na nafsi yake.
Watu wengi nafsi zinatushinda, tunaipenda dunia kuliko akhera, tunafanya makosa tukijua ni makosa ila kwa kuwa yanatufaidisha kidunia haswa kifedha, tunajifanya vipofu.

Mazinge nilimgutukia toka 2018 hivi kuna msikiti nilienda kusali, aliyokuwa anaongea nikapima, nikaona hapa haluna sheikh, nafsi yake ishamshinda nae pesa anazitaka.

Ila sasa anakuwa kama MUNG'UNYA, anaharibikia ukubwani, badala ya kuwa kama mvinyo siku zinavyozidi kwenda ndio inakuwa nzuri ye kaamua kuwa mung'unya.
 
Mazinge udhaifu wake pesa tu ,hapo Huwa akili zinamtoka
 
Nchi hii hata ukisaga kinyesi ukakiita jinalolote na kukipa umbo lolote utakalo utauza tu, cha msingi uwaambie watanzania,Waambie ni dawa inasaidai kuongeza nguvu za kiume, wasiona watoto watapata, inasaidia kuondoa mikosi, inaleta bahati, utapanda cheo kazini, ukitumia utapa mke/mume, utapona magonjwa sugu,n.k

Huwezi kukosa wateja milioni moja.
Wajinga hawajawahi kuisha
 
Sishangai, mtume S.A.W alisema jihadi kubwa kabisa ni baina ya mtu na nafsi yake.
Watu wengi nafsi zinatushinda, tunaipenda dunia kuliko akhera, tunafanya makosa tukijua ni makosa ila kwa kuwa yanatufaidisha kidunia haswa kifedha, tunajifanya vipofu.

Mazinge nilimgutukia toka 2018 hivi kuna msikiti nilienda kusali, aliyokuwa anaongea nikapima, nikaona hapa haluna sheikh, nafsi yake ishamshinda nae pesa anazitaka.

Ila sasa anakuwa kama MUNG'UNYA, anaharibikia ukubwani, badala ya kuwa kama mvinyo siku zinavyozidi kwenda ndio inakuwa nzuri ye kaamua kuwa mung'unya.
Sishangai, mtume S.A.W alisema jihadi kubwa kabisa ni baina ya mtu na nafsi yake.💪🏿
 
Sheikh Mazinge sahivi huna tena nguvu ya kumpinga Mwamposa, maana nawe unauza mafuta ya upako

Kwani Ustadhi Mazinge wewe ni mtani wa Wanyakyusa?

Maana unawaandama Wanyakyusa pamoja na Mwamposa, kila hotuba yako sharti umtaje Mwamposa na Wanyakyusa. Ila hoja zako zinaonesha Waislamu hasa wamama ni wadau wazuri wa mikutano ya Wakristo hasa Mwamposa.

View attachment 3189592
Dr. Sule alianzisha maombi staili ya Mwamposa, mkampinga, tena alipohojiwa kuhusu Mwamposa, akasema anamkubali sana.

Sule nilipomsikiliza alidai kwamba, masheikh wanapaswa kufanya huduma staili hiyo kwa uso wa Uislamu ili Waislamu wasikimbilie kwa Wakristo.

Good idea. Lakini akapigwa vita na Waislamu wenzake akiwemo Mazinge, ambaye alimwita Dr. Sule ni mchawi. Ila baada ya kuona Sule anaongezeka kipesa, naye Mazinge akaungana na ustadhi Firdaus Sharifu ambaye naye kaja na staili kama ya Sule. Hivyo Mazinge kaunga juhudi ya kuuza mafuta na maji ya upako akiwa na boss wake yaani Firdaus. Mazinge ameachana na sheikh Kishiki ambaye anapinga huduma hizo, hivyo amejipatia sintofahamu kutoka kwa Waislamu hasa baada ya kumwona kwenye show ya Mwijaku. Usicheze na njaa. Ila naona amefunga vioo sababu ya pesa za upako. Lakini sijui anamwangaliaje Sule ambaye anazidi kuenea kwa utukufu wa majini. Sahivi yupo Kenya katika acount ya Kakuma akitoa uchawi na mapepo kwa staili ya Kilokole.
View attachment 3189593
Hivyo sheikhe Mazinga sasa hana credibility ya kumpinga Mwamposa, maana naye anaishi kwa staili hizo hizo.

Hivyo aache wivu kwa kuwakataza Waislamu hasa wamama wasiende kwa Mwamposa, yeye amwage upako wa kumzidi Mwamposa ili wasiende huko anapowakataza.

Tutaona mengi
Kuna uislamu, waislamu na watu..

Watu wanafitna saana ukiwemo nawew mtoa Uzi.

Ila fitna haijengi inaharibu kwako na Kwa unayemfitinia ila kwako ndo inaboa saana
 
Mleta Uzi usimtaje mazinge pekee yake taja waislamu wote wanao mpunga mwamposa na kumsema anatapeli wakristo. Sasa na wao wanatapeliwa vizuri Tena kweupe kabisa
 
Kuna uislamu, waislamu na watu..

Watu wanafitna saana ukiwemo nawew mtoa Uzi.

Ila fitna haijengi inaharibu kwako na Kwa unayemfitinia ila kwako ndo inaboa saana
Nimemfitini nani ,wapi nimesema uongo,? Au hupendi ukweli wa utapeli uwekwe hadharani?
 
Nimemtaja Mazinge ,sababu ndio alikuwa kinara ,sasa hivi na yeye ana kiringe wanauza mafuta na kufanya mauzauza
Mazinge ana wivu wa kike sana huyu jamaa. Kuna speech yake Moja ana mponda mwamposa eti "Sasa Hivi Kuna mtume wa kinyakyusa anaitwa mwamposa kawauzia watu udogi kijiko buku na kapata milioni900 kajenga hotel hapo mbeya."

Nikajiuliza maswali Inakuwaje mtu wa dhehebu na dini jingine anajua Hadi mapato ya mtu wa dini nyingine kabisa yote hayo Tisa ...kumi Hadi kajua fika kuwa Ile Hela ya udongo kajengea hoteli !?......... Muda wa kufatilia haya yote mazinge alitoa wapi? Yaani mazinge kawazidi hata wanao ununua ule udongo asee!!
 
Back
Top Bottom