Mazingira ambayo mke wako akizini lazima umsamehe na muendelee na maisha ya ndoa

44mg44

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2019
Posts
2,158
Reaction score
2,186
Mkeo akiliwa kwa situation zifuatazo lazma umsamehe

1. Azini ili apate chakula Cha watoto,wew ukiwa umefulia
2.Kugongwa mbele yako wakat mmevamiwa na majambazi
3.Akizini kwa lengo la kuokoa maisha yako,mfano unaumwa harafu hakuna hela ya matibabu,haraf akapata mwenye hela kwa shart la kumla.

Ongezeen na zngne wadau
 
Hakuna namna ya ku justify uzinifu, kuvamiwa na majambazi hio ni kubakwa, the rest hapo anajiuza na wewe mume umemruhusu ajiuze ili mpate mahitaji.

Kuzini ni ile deliberate action ya kuwa na mahusinao nje ya uhusiano wenu akiwa na hisia na huyo anaetembea nae au kutokana na kutokua na hisia na wewe, ikiwa ni hivi, hakuna msamaha
 
Mkeo akiliwa kwa situation zifuatazo lazma umsamehe
1. Azin ili apate chakula Cha watoto,wew ukiwa umefulia
2.kugongwa mbele yako wakat mmevamiwa na majambazi
3. Akizini kwa lengo la kuokoa maisha yako,mfano unaumwa harafu hakuna hela ya matibabu,haraf akapata mwenye hela kwa shart la kumla.
Ongezeen na zngne wadau
Dah! Jf jamaniiiii!!
 
Hakuna namna ya ku justify uzinifu, kuvamiwa na majambazi hio ni kubakwa, the rest hapo anajiuza na wewe mume umemruhusu ajiuze ili mpate mahitaji.

Kuzini ni ile deliberate action ya kuwa na mahusinao nje ya uhusiano wenu akiwa na hisia na huyo anaetembea nae au kutokana na kutokua na hisia na wewe, ikiwa ni hivi, hakuna msamaha
Mkuu kumbuka kuwa Kuna wakat wanaume huwa wanakimbia familia pale wanapozidiwa kuhudumia lakin wanawake huwa hawakimbii familia hata Hali owe ngum kias gan,na njia wanazotumia Ni pamoja na kujenga mahusiano na mwanaume mwenye pesa ili aweze kuhudumia familia yake,mme akirudi huwa wanaacha!! Hapa mwanamke alikuwa hajiuz Ila alikuwa anafanya uzinz, hapa unasemaje mkuu?
 
natamani maisha ya kweli yangekuwa kama ulivyoandika lakini ayo matukio yangekutokea ww mwnyw
Hapa tunasaidiana mawazo kwa kutoa hoja ,lengo Ni kuelimishana na sio kuombeana mabaya mkuu
 
Hakuna namna ya ku justify uzinifu, kuvamiwa na majambazi hio ni kubakwa, the rest hapo anajiuza na wewe mume umemruhusu ajiuze ili mpate mahitaji.

Kuzini ni ile deliberate action ya kuwa na mahusinao nje ya uhusiano wenu akiwa na hisia na huyo anaetembea nae au kutokana na kutokua na hisia na wewe, ikiwa ni hivi, hakuna msamaha
Straight red card hakuna mambo ya vieira V.A.R 😂
 
Back
Top Bottom