Tatizo helimu watazania wengi awana ndio mahana.Sasa mbona "hela" umeandika vizuri....halafu ukabomoa kwenye "harafu"?
Dah! Jf jamaniiiii!!Mkeo akiliwa kwa situation zifuatazo lazma umsamehe
1. Azin ili apate chakula Cha watoto,wew ukiwa umefulia
2.kugongwa mbele yako wakat mmevamiwa na majambazi
3. Akizini kwa lengo la kuokoa maisha yako,mfano unaumwa harafu hakuna hela ya matibabu,haraf akapata mwenye hela kwa shart la kumla.
Ongezeen na zngne wadau
Mkuu kumbuka kuwa Kuna wakat wanaume huwa wanakimbia familia pale wanapozidiwa kuhudumia lakin wanawake huwa hawakimbii familia hata Hali owe ngum kias gan,na njia wanazotumia Ni pamoja na kujenga mahusiano na mwanaume mwenye pesa ili aweze kuhudumia familia yake,mme akirudi huwa wanaacha!! Hapa mwanamke alikuwa hajiuz Ila alikuwa anafanya uzinz, hapa unasemaje mkuu?Hakuna namna ya ku justify uzinifu, kuvamiwa na majambazi hio ni kubakwa, the rest hapo anajiuza na wewe mume umemruhusu ajiuze ili mpate mahitaji.
Kuzini ni ile deliberate action ya kuwa na mahusinao nje ya uhusiano wenu akiwa na hisia na huyo anaetembea nae au kutokana na kutokua na hisia na wewe, ikiwa ni hivi, hakuna msamaha
Hata wewe pia elimu ni changamoto..Tatizo helimu watazania wengi awana ndio mahana.
Mii mwenewe nimeshanaga sana hanaadikaje pumba Kama ivo.Ila kugongewa hakuna exichuzi,ukishajua umegongewa unamzalau mkeo
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Straight red card hakuna mambo ya vieira V.A.R 😂Hakuna namna ya ku justify uzinifu, kuvamiwa na majambazi hio ni kubakwa, the rest hapo anajiuza na wewe mume umemruhusu ajiuze ili mpate mahitaji.
Kuzini ni ile deliberate action ya kuwa na mahusinao nje ya uhusiano wenu akiwa na hisia na huyo anaetembea nae au kutokana na kutokua na hisia na wewe, ikiwa ni hivi, hakuna msamaha
No senceTatizo helimu watazania wengi awana ndio mahana.
Mii mwenewe nimeshanaga sana hanaadikaje pumba Kama ivo.Ila kugongewa hakuna exichuzi,ukishajua umegongewa unamzalau mkeo
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app