Mazingira gani ya hatari uliwahi kufanya mapenzi?

Huyo mume wake inaonekena alikuwa hampigi vizur
 
Si x1 Ndani ya staff bus seat ya nyuma tulivyokua tunasambazwa majumbani Saa 6,7 za usiku, 1992
Shemeji yenu marehemu sasa
 
Reactions: SDG
Watu mna UJASIRI kama JIWE,
Miaka mitatu na NKE wa NTU!!!!?
 
He he heeee
 
Sio hampigi vizuri alkua hawezi kabisa kamzidi miaka 35 yaani km babake kabisa
Unaoa mwanamke ulomzid miaka 35!!!!!
Gap kubwa sana hilo,hapo kusaidiwa ni LAZIMA.
Kwanza umri plus MAJUKUMU
 
Ni kumtesa huyo binti.
Kwa sababu ni kama MJUKUU WAKE
Kweli mkuu, baada ya kuachana mchungaji akaridhi akaweka ya mtoto alizaa na mzee kakubali matokeo maisha yanaendelea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…