Mmewe kipindi hicho alkua anafanya kazi ofisi za bunge ila ashaataafu kitambo,
Huyo mtoto alkua na miaka 5, km alkua na utambuzi aligundua maana tulikua hadi tunagombana kwenye gari tukiwanae, house tulijua kabisa anajua maana walkua wanaenda lala wanatuacha nje tunakunywa na mimi ckua nalala kwao,
Mwanamke alkua na wivu sanaa hata kazini alkua anashindwa kuzuia hisia zake hadi baadhi ya wateja walihisi km sio kua na uhakika kua tuna mahusiano, sa ingine akizidiwa tunaenda kumalizana stoo kabisa,
Yaani ilkua miaka mi3 ya tafrani kwelikweli