Mkuu hebu wakumbushe kwamba,Mtoto wa binam yako, kwa hiyo umemla ndugu yako? Watu mna mioyo aisee!!
Hili suala tukija kwenye masuala ya kisheria, sheria ya makosa ya jinai [Penal Code] ya Tanzania imeweka bayana kabisa ni kosa la jinai kufanya mapenzi na nduguyo awe kaka, dada, nusu kaka/dada, mama mzazi, mjukuu