Jofure freeman
Senior Member
- May 21, 2018
- 150
- 381
Kuna demu mmoja nilimuonga sana pesa na vitu kama nguo nyingi tu, chipsi ndo kabisa nafikili alimaliza gunia la viazi maana miezi minne yote nilikuwa nampelekea kiepe kazini kwake,
Kiukweli alinifanya kama mtumwa nilipokuwa naulizia kugegeda napigwa tarehe, mara ooh sijawahi kugegedwa naogopa, Baada ya kama miezi mi nne nilikata tamaa nikaacha kuwasiliana nae na namba zake nikafuta. Siku moja kama saa tatu usiku iliingia namba ngeni baada ya kumuuliza kwa kirefu ndo akanambia ni yeye na akadai anashida na mimi niende angalau anione amenimiss, Basi bwana kwakuwa sikuwa na kazi usiku huo nikaenda kwa kujisemea huyu leo ni leo akikubali kupanda kwenye gari yangu lazima nimle kwa namna yoyote.
Baada ya kufika maeneo ya kwao nikaengesha gari pembeni ya njia demu akaja nakuanza mambo yake ya baby nimekukiss na kelele nyingi nyingi tu
Basi sikumchelewesha nikamvamia kwenye kiti alipokaa nikaanza romance taratibu mtoto akatulia nikamchojoa nikaanza kumla taratibu huku magari yakipita njiani nainama yasituone
Bwana wee mara nikashtukia defender inakula breki mbele yetu sijui nani aliwatonya wale jamaa walikuwa na tochi kali sana mara tukazingilwa fasta,
wakatushusha nikala virungu demu yeye hakupigwa, tukapelekwa kituo cha polisi wakaniweka ndani demu akabaki kaunta nahisi walikuwa wanamtongoza wale jamaa, baadae wakanifata mimi wakanichukua tukaenda sehemu nikawapoza demu akarudi kwao. hii kwakweli sitoahau.