Mazingira gani ya hatari uliwahi kufanya mapenzi?

Kyela mjini-Ngonga kijijini kwetu ni km 60 na huwa tunatembea masaa mawili tu!
Mdogo wangu Kiswigo yy hutumia saa moja na nusu

Sent from my iPhone using JamiiForums
Mkuu sio kweli hiyo. Unajua marathoni ni km42.5 na anayeshikilia rekodi ya dunia amekimbia kwa.1.59.40. Sasa mkuu wewe ulitembeaje km 60 kwa masaa 2????

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mkuu uko sahihi huko kijijini kuna wakurungwa wanatembea hatari hata hapo dar kuna watu nimewai kuongea wao kutembea kutoka kimara hadi kariakoo wamefanya sana au mbagala kawe

Na ww unakubali kabisa 50 km 2hours?

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
mkuu uko sahihi huko kijijini kuna wakurungwa wanatembea hatari hata hapo dar kuna watu nimewai kuongea wao kutembea kutoka kimara hadi kariakoo wamefanya sana au mbagala kawe
Kutembea Kimara-k/koo nayo Ni ajabu??????????

Duuh!

WANA JAMII FORUMS, TUSIFANYE MAKOSA TENA OCT 2020
 
Hahaahahaa acha utani bwa'mdogo

Sent from my S9 Plus using JamiiForums mobile app
 
maelezo yanaweza kuwa mengi lkn hoja hamna. kutembea km 52 kwenda na kurudi km 104 haiwezekan kwa siku 1 kwa mwanadamu wa kawaida cheni uongo au hata km hamjui ipoje
 
maelezo yanaweza kuwa mengi lkn hoja hamna. kutembea km 52 kwenda na kurudi km 104 haiwezekan kwa siku 1 kwa mwanadamu wa kawaida cheni uongo au hata km hamjui ipoje
Mkuu huko mbwinde watu wanatembea unakumbuka kuna jamaa wa Yanga walikuja kwa baiskeli toka mtwara kwa normal mtu wa dar huwezi kuamini ila wakulungwa walitoboa go and return
 
maelezo yanaweza kuwa mengi lkn hoja hamna. kutembea km 52 kwenda na kurudi km 104 haiwezekan kwa siku 1 kwa mwanadamu wa kawaida cheni uongo au hata km hamjui ipoje
Nadhani kwa sisi watu wa tarime tungekuwa tunatembea kwenda hapo mwanza tu kunywa chai na kunua visu vya mjini kisha tunarudi home. Kuna mwingine hapo anasema mtu anatembea km 60 kwa masaa mawili. Km 60 kama ni gari inatumia 5-6lita. Safari ya lita 6 kwenye gari ni zaidi ya saa moja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…