Mazingira gani ya hatari uliwahi kufanya mapenzi?

Mkuu huko mbwinde watu wanatembea unakumbuka kuna jamaa wa Yanga walikuja kwa baiskeli toka mtwara kwa normal mtu wa dar huwezi kuamini ila wakulungwa walitoboa go and return
we jamaa hiyo kifinga inanikumbusha maeneo ya kilombero unanivuriga! maana kitu hadi malinyi,mlimba,mpanga,chita kitu mofu mpaka idete acha mbingu,lupiro ,itete mwaya mpaka mahenge huko kote tumetimbwilika hili lifa acha tu.
Haya mzee wa kidodi na kisokopele.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii chai

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwenye vimbweta vya chuo ..Game uki nogewa unakua kama kipofu [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]nilikua naona tupo wawili tu chuo kizima kumaliza tuna toka kumbe mlinzi alikua pembeni sio mbali ana tuchora tu

SUBIRI KIDOGO
 
Mkuu huko mbwinde watu wanatembea unakumbuka kuna jamaa wa Yanga walikuja kwa baiskeli toka mtwara kwa normal mtu wa dar huwezi kuamini ila wakulungwa walitoboa go and return
Sikilizeni wakuu mimi ni mtu wa mazoezi sana na kila siku uwa nakimbia asubuhi km 10 na weekend nakimbia km 20. Kwa wastani kwa sisi wakimbiaji wenye uzoefu km 10 unakimbia kwa wastani wa dk 45 mpk saa moja tena hapo nina mazoezi haswa. Kukimbia km 60 ni ngumu sana kwani utatumia masaa 5 au 6 na hapo uwe mkimbiaji haswa na aishauriwi kwa kuwa utapoteza maji sana mwilini. Wapo wanaokimbia hivyo ila ni labda mara moja kwa mwezi au wale wanaokimbia km 42 kama kina Kipchoge ambaye amevunja rekodi ya dunia kwa kukimbia km 42 kwa saa 1:59 na average pace per km ni dk 2:56

Hapo nimeongelea kukimbia sio kutembea. Kama mtu anatembea ina maana anakuwa slow kidogo tofauti na anayekimbia tena mwenye mazoezi.

Nimeongea hayo kuweka mjadala sawa
 

Hata usihangaike kueleza mkuu ujue kuna watu huwa wanajitoa akili sana basi tu
 

Lazima utakuwa Mzaliwa wa Mkoa wa Morogogro. Maana huwezi kujua maeneo yote haya kama hukutokea huko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…