Mazingira gani ya hatari uliwahi kufanya mapenzi?

Mazingira gani ya hatari uliwahi kufanya mapenzi?

Mkuu huko mbwinde watu wanatembea unakumbuka kuna jamaa wa Yanga walikuja kwa baiskeli toka mtwara kwa normal mtu wa dar huwezi kuamini ila wakulungwa walitoboa go and return
we jamaa hiyo kifinga inanikumbusha maeneo ya kilombero unanivuriga! maana kitu hadi malinyi,mlimba,mpanga,chita kitu mofu mpaka idete acha mbingu,lupiro ,itete mwaya mpaka mahenge huko kote tumetimbwilika hili lifa acha tu.
Haya mzee wa kidodi na kisokopele.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kanisani. Iko hivi.

Kuna dogo mmoja namla ila nilimla mara ya kwanza mwaka jana mara ya kwanza alipokuja likizo na nilimla kwa kumbananisha sana maana kwao geti kali balaa. Sasa wamefunga yuko nyumbani ila haruhisiwi kutoka kwa sababu yoyote ile. Mzee wake anasema hii corona hataki kuona pua ya mtoto nje.

Juzi pasaka akaniambia hana nafasi na hawezi kutoka kwao kwa namna yoyote isipokua kwenye mkesha wa pasaka. Pale wakati wa ibada anaweza kutoka mara moja hivyo kama naweza niende hadi kanisani nipaki gari kwenye parking atakuja akiwaacha ndugu wakiendelea na ibada nimtafunie pale pale parking.

Kweli nikaenda hadi kweye parking magari yalikua mengi na pilika pilika zilikua nyingi hivyo hakuna aliekua anajua kinachoendelea.

Mtoto akaja kwenye gari nikamtafuna 2 vya fasta akarudi kuendelea na ibada mimi nikatoka kurudi home, kabla sijafika home akaniambia amewaseti wadogo zake kua baada ya ibada kuu anaenda kusali novena na rafiki zake hivyo watangulie wafiki zake watampeleka nyumbani. Akaniambia kama sijafika mbali nirudi.

Nimerudi nikamsubiri nje ya geti la kanisani tukaenda hadi karibu na kwao kuna sehemu kuna kagiza giza kuna mitimiti nikapaki pale gari nikamtafuna tena viwili huku baba yake anapiga simu kama amerogwa, ikikata ya baba inaita ya mama maaa madogo wamerudi sister hayumo kwenye gari.

Baadae akawapigia kua alikua ameweka simu silent alikua anasali novena ndio anatoka yuko na class mates wake wanamrudisha nyumbani. Mzee akashusha presha.

Yale mazingira ya kanisani yalikua hatari ila nilijikaza hakuna namna.

Yule mtoto ni mtamu mileage ndogo sana hata akiniambia niruke ukuta wao wa umeme niingie ndani kumtafuna naruka bila kipingamizi.
Hii chai

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwenye vimbweta vya chuo ..Game uki nogewa unakua kama kipofu [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]nilikua naona tupo wawili tu chuo kizima kumaliza tuna toka kumbe mlinzi alikua pembeni sio mbali ana tuchora tu

SUBIRI KIDOGO
 
Mkuu huko mbwinde watu wanatembea unakumbuka kuna jamaa wa Yanga walikuja kwa baiskeli toka mtwara kwa normal mtu wa dar huwezi kuamini ila wakulungwa walitoboa go and return
Sikilizeni wakuu mimi ni mtu wa mazoezi sana na kila siku uwa nakimbia asubuhi km 10 na weekend nakimbia km 20. Kwa wastani kwa sisi wakimbiaji wenye uzoefu km 10 unakimbia kwa wastani wa dk 45 mpk saa moja tena hapo nina mazoezi haswa. Kukimbia km 60 ni ngumu sana kwani utatumia masaa 5 au 6 na hapo uwe mkimbiaji haswa na aishauriwi kwa kuwa utapoteza maji sana mwilini. Wapo wanaokimbia hivyo ila ni labda mara moja kwa mwezi au wale wanaokimbia km 42 kama kina Kipchoge ambaye amevunja rekodi ya dunia kwa kukimbia km 42 kwa saa 1:59 na average pace per km ni dk 2:56

Hapo nimeongelea kukimbia sio kutembea. Kama mtu anatembea ina maana anakuwa slow kidogo tofauti na anayekimbia tena mwenye mazoezi.

Nimeongea hayo kuweka mjadala sawa
 
Hata usihangaike kueleza mkuu ujue kuna watu huwa wanajitoa akili sana basi tu
 
we jamaa hiyo kifinga inanikumbusha maeneo ya kilombero unanivuriga! maana kitu hadi malinyi,mlimba,mpanga,chita kitu mofu mpaka idete acha mbingu,lupiro ,itete mwaya mpaka mahenge huko kote tumetimbwilika hili lifa acha tu.
Haya mzee wa kidodi na kisokopele.

Sent using Jamii Forums mobile app

Lazima utakuwa Mzaliwa wa Mkoa wa Morogogro. Maana huwezi kujua maeneo yote haya kama hukutokea huko.
 
Back
Top Bottom