Pyepyepye
JF-Expert Member
- Jan 6, 2017
- 1,940
- 3,834
Ungekuw na mshua wa kikola, ungeimba pambio zote, tenzi za rohoni hadi kaswida asee.[emoji23] nashukuru sana mshua wangu ni kama mshikaji wangu tu, hata watu hudhani kua ni mtu na kaka yake. mpaka sasa tukikutana salamu zetu ni mambo vipi. hata mama ni rafiki yangu sana hatunaga maneno mengi
All in all nimecheka sana asee