Mazingira gani ya hatari uliwahi kufanya mapenzi?

Nmekua nagegeda mtoto wa nurse flan mtaani sjawai hisi hatar yoyote ila leo akat nipo katkat ya kipind niliskia mlango unagongwa

Kidume kijasho kikanikuta ikabid niingie uvunguni fasta af dem kavaa fasta na kuenda seblen kuchek ni nani af mi mawazo yoote nahis ni mamaake

Duuh hapo tayar nimeumia nmeumia kumbe ni rafiki yake amekuja kumchukua wakatembee

Ilibid manz aje room nikapiga kimoja af akasepa

Saiz narud hom na manz bado nawaza kumgegeda

Niombeeni nisije kushikwa maana kwa pressure hii ntakufa
 
Aise hii mambo ni noma!
Siku moja mimi natoka zangu school kipindi cha likizo, nafika home namkuta demu mkali kinyama nikamuuliza dogo vipi huyu dada dogo akasema nimpangaji Wetu, wapo na mme wake wote ni wanajeshi basi mimi nikapotezea nilipoaambiwa ni mjeda halafu pia mme wake pia mjeda. Yule dada akawa ananiangalia sana ila mie sikuwa najari akawa anakuja Kwa mother kupiga tory, siku hiyo nikasikia anamuuliza mom kijana wako yako form ngapi mom akamjibu form three, baadae alipoenda ndani kwake akaniita wewe kijana njoo nikazama ndani akaniambia naomba uniwekee bulb nikapanda kitandani akanipa bulb nikaiweka, sasa wakati natelemka nilishitukia tu nimekumbatiwa tukaangukia kitandani siunajua ugwadu wa mwanafunzi ilikuwa shughuli.
Basi Ile tumemaliza tu mziki mmewe akatia maguu tena tukasikia anakung'uta buti mlangoni yule dada akaniambia niingie uvunguni nikiangalia kauvungu kadogo, basi nikalazimisha kuingia ila Kwa kulala basi jamaa likwa limeingia akalikaribisha likakaa kitandani huku mie naitizama maguu yake baada yakuvua buti likaanza kumchezea yule dada akaliambia liende kwanza kuoga ndiyo wananilii, basi likamwambia akalichemshie maji kwenye hita huko bafuni, Ile ameondoka likawa linaangalia angalia nusura litizame uvunguni yule dada hakukawia akarudi akasema tayari yamechemka likatoka namimi ndiyo kutoka.
Sitasahau.
Daaah! Hii ndo chupuchupu yenyewe
 
Mi nilikula binamu akiwa kalala na wadogo zangu wa kike,, vitanda vilikua viwili kimoja ndo kalala binamu na dogo,, nilkua namgegeda mara nyingi tu ila siku hiyo dogo aliusoma mchezo nikaskia anafyonza tu,, nikaondoka kimyaaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Aise hii mambo ni noma!
Siku moja mimi natoka zangu school kipindi cha likizo, nafika home namkuta demu mkali kinyama nikamuuliza dogo vipi huyu dada dogo akasema nimpangaji Wetu, wapo na mme wake wote ni wanajeshi basi mimi nikapotezea nilipoaambiwa ni mjeda halafu pia mme wake pia mjeda. Yule dada akawa ananiangalia sana ila mie sikuwa najari akawa anakuja Kwa mother kupiga tory, siku hiyo nikasikia anamuuliza mom kijana wako yako form ngapi mom akamjibu form three, baadae alipoenda ndani kwake akaniita wewe kijana njoo nikazama ndani akaniambia naomba uniwekee bulb nikapanda kitandani akanipa bulb nikaiweka, sasa wakati natelemka nilishitukia tu nimekumbatiwa tukaangukia kitandani siunajua ugwadu wa mwanafunzi ilikuwa shughuli.
Basi Ile tumemaliza tu mziki mmewe akatia maguu tena tukasikia anakung'uta buti mlangoni yule dada akaniambia niingie uvunguni nikiangalia kauvungu kadogo, basi nikalazimisha kuingia ila Kwa kulala basi jamaa likwa limeingia akalikaribisha likakaa kitandani huku mie naitizama maguu yake baada yakuvua buti likaanza kumchezea yule dada akaliambia liende kwanza kuoga ndiyo wananilii, basi likamwambia akalichemshie maji kwenye hita huko bafuni, Ile ameondoka likawa linaangalia angalia nusura litizame uvunguni yule dada hakukawia akarudi akasema tayari yamechemka likatoka namimi ndiyo kutoka.
Sitasahau.
Watu wameanza rafu kitambo kitambo
 
Nimet*mba sana mtoto wa mjeda pale mwenge magorofani kipindi babayake kasafiri kikazi, yaani kigiza kikiingia nilikuwa naingia namkaza halafu narudi kwetu Salasala, nilifanya hivyo kama mara 4 hivi, yaani sijui nilikuwa na ujasiri gani. Sipatii picha siku ningefumwa!
From Mwenge to Salasala.
Parefu
 
Uwanja wa Ugenini hatar sana
 
From Mwenge to Salasala.
Parefu
Sema kidemu chenyewe ndio kilikuwa kinapenda niende kwao, nikimwambia twende gesti hapendi, nikaona basi isiwe tabu, nikitoka mishe nampitia mwenge kota napiga vi3 narudi zangu home. Mdingi wake alikuwa anakaribia kustaaafu akawa ameshahamishia familia yake uraiani alikojenga, yeye alikuwa muda mwingi anakaa kota kwa sababu ni karibu na chuo alichokuwa anasoma. Kwahiyo akawa na kauhuru flani. Ni miaka mitatu iliyopita na nilishatemana naye, sema kila nikimfikiria huyo demu naona nilikuwa nafanya kitu cha kijasiri sana ingawa kwa wakati nilikuwa naona kawaida tu
 
Huwa hivyo,unapopata muda wa kutafakari ya nyuma ndo unagundua ulifanya mambo yasiyopaswa kufanywa
 
Kuhusu ishu za kugonga housegal home usiku baba na mama wakiwa wamelala au wameenda kazini nimezifanya mara nyingi mno tena kwa housegals zaidi ya watano, kwahiyo sijui hata nisimulie lipi. Sema nilikuwa smart sana katika move zangu, sijawahi kufumwa hata siku 1, ila na machale yalikuwa yananisaidia. Kuna wakati unakuta ile natoka chumbani kwa housegal kumtia ndio Mama/Baba anaamka kwenda msalani. Dah ila housegalz watamu, sema nashukuru Mungu baada ya kuoa hako katabia kakugonga mahousegirl nimekaacha
 
Mkuu tupe hata moja uliyoponea chupuchupu
 
Lol! Kuna nyuzi humu unaweza ukacheka na screen kama mwehu lol! Kuna uzi mwingine wa viroja vya kupanda ndege kwa mara ya kwanza lol! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Ukitoka hapa kachungulie kwenye thread ya kama una stress pitia hapa.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125]
 
Back
Top Bottom