dottoz
JF-Expert Member
- Jan 29, 2012
- 1,510
- 870
Hahahahaha sahivi ushakuwa mzee wewe.Nakumbuka enzi 2002 maisha ya udsm, tukipata boom.
Sintosahau siku hiyo billz Mimi na mshakaji tukachukua muuzaji k, demu akatupeleka mitaa ya nyuma kulikuwa na Isuzu tipper la mchanga tukamtoa mlinzi 500, akaturuhusu tumalizane ndani ya tipper.
Katika kumshughulikia yule Malaya si bahati mbaya akatengua handbrake ya tipper, likaanza kutembea kwanini lilikuwa kwenye Ka mlima, we Acha, nilirukaje ,jamaa naye akaruka na demu naye akaruka.Tukala zetu Kona tukarudi zetu ndani billz.
Tukamuacha mlinzi anahangaika kulisimamisha tipper lake na kigogo, huku anatutukana kishenzi.
Na siku nyingine nakumbuka jolly club enzi hizo nilikamatia Ka Malaya cha kichina nikaenda kukabandua pale nje jolly kwenye kibanda cha mlinzi mara pap Askari wa Doria wakaibuka wanachungulia dirishani, dirishani lenyewe ni uwazi Tu,, nilivyowaporonyoka Du manake kuna Askari alikuwa anakuja kwenye mlango nilirukaje pale dirishani nikamkumba Askari aliyekuwa anachungulia tukaanguka wote kuja kusimama nilitoka nduki Askari wakabaki wanacheka, wakamdaka mchina sijui waliongea naye nini.
Dah nikukumbuka enzi hizo yaani udsm ilikuwa full usela nondo plus kupiga kitabu
Duuuu kweli binadamu tunapitia mengi sanaaaa aiseee.