juan moses
JF-Expert Member
- Feb 16, 2014
- 2,403
- 2,478
I Went A Step Further Once. Pori La Jeshi JKT Makutupora. Alafu Walikua Kesho Graduation So Wanafanya Mazoezi Ya Mafataki. Yani Nawasikia Kabisa Wanaongea Au Wanapita Na Baiskeli Kwenye Lile Pori. That Was 2009. Now Ndo Najua The Risk Was Not Worth Taking Wangenishika Wale,Sijui Wangenifanyaje.
In 2015; Kuna Nyumba Ya Kupanga Uyo Mdada Mke Wa Mtu,Mumewe Yupo Mkoa Na Watoto Ila Anakujaga. Ni Zile Nyumba Za Korido Alafu Vyumba Vinaangaliana Milango. Wanawake Wa Kimbulu Sio Wa Kuoa Kabisaaaaa. Niliambiwa Niende Peku Saa 8 Za Usiku Anazuga Anaenda Choo Cha Nje Anafungua Geti Tunaingia Tunanyata. Saa10 Anatoka Tena Anasoma Ramani Huyo Nasepa Like A Boss.
Hatari Ya Pale Ni Kuwa Kuna Wapangaji Wa Kiume Kama Wa3 Wangeona Nagonga Mke Wa Mpangaji Mwenzao Nisingetoka. Pia Kuitiwa Mwizi Wanakuja Kukujua Umebaki Na Jino Moja.