Mazingira gani ya hatari uliwahi kufanya mapenzi?

Mazingira gani ya hatari uliwahi kufanya mapenzi?

Mungu kweli unamtumia hapo, tubu, dhambi inaleta umauti, katoe laana na huo umauti, siku zako za kuishi zitapunguzwa, na huo ndo ukweli, Dhambi inakuandama ktk maisha yako, Ukimwi upo sana na nenda ukapime, maana inaonekana hyo ndiyo michezo yenu wawili, mkishapima mrudi humu.
Sawa nitatubu, nadhani wewe usiye na dhambi hautokufa, na kwakuwa ukimwi upo kwa ajili yetu wenye dhambi, wewe huwezi kupata.
 
Back
Top Bottom