Alfred Paulo Kijangwa
Member
- Nov 3, 2017
- 68
- 67
Siku moja kuna msichana aliniambia tukafanye kwao mambo ya kibabababa muda wa night coz hakuwa na muda wa kutoka... tukabanjuka weeeeee... ilipofika mida ya saa nane mdingi wake si akagonga mlango... eti aliekuwepo ndani ni nani... kwa usalama wako fungua nimtoe mwenyewe... moyoni nikajiapia kuwa subiri aingie tu namfumua ngumi moja tu... akizima natambaaa... kesi siku nyingine... si akaingia... nikafanya vile nilivyohapia... nikatambaa... baada ya siku kama kumi nikiwa U.S.A huku kuna rafikiangu akaniambi yule mzee amefariki... mpaka leo naogopa kurudi tz