Mazingira gani ya hatari uliwahi kufanya mapenzi?

Mazingira gani ya hatari uliwahi kufanya mapenzi?

Mimi

Kwakuwa nimekulia kijijini sitosahau siku moja

Niliingia na demu wangu kichaka kimoja hivi mbaaali na Kijiji. Nakumbuka ilikuwa usiku wa saa mbili hivi. Ulikuwa usiku ambao mbalamwezi ilikuwa inawaka kwa kufifia hivi.

Baada ya kufika eneo la tukio binti alitandika kanga chini na kuanza kubonyezana bonyezana maeneo muhimu, , , Mara mzee baba nikaanza kudumbukiza ile Mambo..

Baada ya dakika chache,, nikasikia Kama kitu kimenidondokea mgongoni, kwakuwa utamu ulikolea nilihisi Kama kijiti flani the laini laini. Ila songi lilikatika baada ya kugundua kumbe aliyedondoka alikua ni NYOKA. duuuuuuh hiyo purukushani ilikuwa Ni zaidi ya muvi aisee.

Tulikimbia Kwanza na kuacha Kila kitu pale.

Jamani "kasumba hizi duh"

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nakumbuka nikiwa Shule fln mkoa wa Mara 0 lvl niligonga demu juu ya mwembe, Mwl. Wa nidhsm akawa anafanya patrol ghafla akaona matawi ya mwembe yananesa nesa ikabidi asogee kucheki juu olalalala
Akatushtua tukadondoka, binti kakimbia chupi mguu mmoja na sketi alipandisha tu, na Mimi ndo pia nikatimua mbio

Du , nilimshkisha Mwl. Akapotezea.

Ingine advance huko Iringa, niligonga mnyarukolo juu ya mawe mto ruaha.
Na mwingine jiwe gange kule juu mpk akachubuka mgongo kwa shughuli

I miss those dayz
Zouuu, ifunda dadaz
Mtt wa mlunza bila shaka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi nnakumbuka nliwahi kudedega Zanaki Secondary. Ilikua ni siku ya Jumanne tulikwenda pale kwa ajil ya kucheck Game ya Basketball. Wakat watu wakiwa Busy na Game sisi hku tulianza foreplay za hapa na pale. Mida ya saa 4 ucku game ikaisha na watu wakaanza kuondoka. Hapo ndio tulipata Uwaz wa kugegedaka kwenye zle Banch. Nnashukuru maana mpaka nnamaliza bao 3 hakuna mlinzi aliyefka maeneo yale.
 
Back
Top Bottom