SK2016
JF-Expert Member
- Apr 6, 2017
- 8,016
- 13,780
Nimejikuta nacheka tu hapa nilipo kwa comment yakoKuna mwana alileta manzi wa kishua gheto...kutoka na hadhi ya binti na mwana ameshamdang'anya mtoto anakaa peke yake...kwanini asitupie nguo zetu mixer vyombo vya kupikia mabeseni viatu chini ya ufuvungu...chumba kikawa kimepangika...wana tuarudi baada ya mwana kumsindikiza manzi hatuoni vitu vyetu mixer mpaka viombo hamna..ile mwana kurudi anatuambia aliona bora avitupie uvunguni kumuonyesha manzi anakaa peke yake...tulimmind mwana ile kinoma...
Alizingua kinyama...mixer nguo kuwa na masinzi kama yote...
Sent using Jamii Forums mobile app