Mazingira gani ya hatari uliwahi kufanya mapenzi?

Nakumbuka ilikua mwaka 1990 pale cello, Central police Arusha,Kama mtu anapajua vizuri ndani mule Kuna mix wadada na wakaka Ila wadada wqnachumba Chao,Sasa mzee baba nimekaa ndani Kama siku 3 ijuma,jmosi na.jumapili Mara kwenye mida ya usiku akaletwa demu,nazani atakuwa kahaba yule kampiga mtu chupaa,mzee mwezangu alikua kafungasha kinomaa na kinguo alicho vyaa balaa,kama kawaida mi ndo nilikua balozi ndani mulee.maana napiga ngumi hatari nikawakalisha machalii wote mi nikaenda kulala kwenye cello ya mademu mpaka mda wa rokoo saa tisa,hakikaa nilifaidi
 
Cello au sero
 
mi nilishawahi fanya sehemu mbili ila hi ya pili ni hatari zaidi nilimdaka demu ilikua EMERGENCY it means ningemuachia nisingekutana nae tena kumbuka ni kijijini kuna eneo lina jumba bovu la udongo tukaingia humo tukafanya mambo yetuu wee ile tumetoka kama hatua kumi naa tunaagana mara huku nyuma kale ka jumba kakaporomoka,

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]malaika walinzi waliwaonea huruma mmngekufa vibaya
 
Mi nataman kupiga gem kwenye gari sijawahi. Mwaka wa 10 huu namiliki gari 4 tofauti nlianza kumiliki gari nikiwa chuo
hii kwenye gari kuna siku natoka zangu club na pisi mpya bado inakaa kwao na haitaki kendra kulala kwangu aisee nilisimamisha gari kituo cha basi mtoto akaja kukalia mashine nikapiga kimoja fresh alafu kuna muda wakati wa makeke si akabonyeza honi
 
Discipline Master alituchukua mimi (HP) na Head Girl (HG) akasema ameskia tunataka kuchochea mgomo. Akatuweka ofisini kwake, Mara akaondoka akasema anaenda kwenye kipindi tutaongea akirudi.

Akatuamru tubaki mle mpka arudi. So yule HG alikuwa chakula yangu. Baada ya dk kama 20-25 hivi akasogeza sketi juu, kyupi chini, nami fungua zipu, akaikalia nikiwa kwenye office chair! Kamoja swaaaafiiiiiiii!

Displine alivorudi, akakuta tumekauka tumenunaaa, akatushauri pale, na blah blah nyingi nyingi basi tukarudi class tukiwa wepesiiiiiiiii!!

Mazingira ya hatari sana!
 
usharudi na porojo zako
 
Back
Top Bottom