rip faza_nelly
JF-Expert Member
- Feb 19, 2018
- 5,749
- 7,038
kwa mazingira hayo alitakiwa atumie muda ganDk2???
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwa mazingira hayo alitakiwa atumie muda ganDk2???
HatariDaah Ndo natoka makaburini hapa na Dem Wadau hii Naomba niisimulie kesho Mungu Akipenda
Hamna huu Uzi Ni legend kuliko ule wa masihara ..huu una muda mrefu sanaHuu si uzi wa kula kimasihara?
Huu ulitangulia if I'm not mistaking upo humu Tangu 2016Aiseee huu Uzi Content moja na Ule wa kimasihara
Gest yenye private rooms ndo yanakuaje mkuu?Sikuhizi mazingira hatarishi yamepungua but visa kadhaa vya hivi karibuni ni kama ifuatavyo
1.Nilimla mke wa mtu nyumbani kwake tena asubuhi kwenye sebule yeye ndio aliniita coz manzi mwenyewe ni pisi maarufu mjini maana ina tako hatari niliona nikiingia nayo lodge watanichoma na sikuwa na pesa ya kusafiri wilaya za jirani.
2.Nilimla beki 3 kwa tajiri yake japo huyo beki 3 alikuwa ni mzuri tofauti na beki tatu wengi..Niliaga nimeenda site na ntalala huko na network itakuwa haipatikani coz ni porini kumbe ni mtaa wa pili tu hapo,,demu kaniingiza kwao saa mbili kasoro kabla ya wenye nyumba kurudi ,,nikawekwa chumbn nikaletewa msosi huko huko ,,nikala mzigo ucku kucha saa 11 kanifungulia huyo nikasepa japo mbwa alibweka Sana asubuhi napotoka ikawa imetoka hiyo
Vingine ni visa vya kawaida kunambia a kwenye mapagala au ma gests yenye vip au private rooms nk nk kwa leo ni hayo tuu
jamaa anaongea kam alichokufanya ni kitu flan Cha kawaida tu[emoji3][emoji28][emoji28][emoji28]
jamaa anaongea kam alichokufanya ni kitu flan Cha kawaida tu[emoji3]
Usisahau kuleta mrejesho mkuuMkuu umenichekesha sana...kuna jamaa kwao kuna mbwa sasa kila akifika huwa wanamkimbilia na kumnyanyulia mkia huku wakilia na kutikisa viuno...!!!
Kumbe inawezekana hata yeye atakuwa anawatafuna kisirisiri..!
Hebu ngoja nianze kufuatilia..![emoji125] [emoji125] [emoji125]
Alikua ni mpenzi wako au ilitokea tu alikua anakutaka?Kipindi nipo Olevel nakumbuka..Nilimtafuna mwalimu Muda wa Assembo alikuja Dom Tulilo Kuwa Tunaishi na jamaa Zangu..Kawafukuza Wanafunzi wezangu wote waende Assembo..Kanibakiza..Nikamlaa kimoja cha Fasta
Hatutaki tu kusema. Mie nakumbuka moja enzi hizo miaka ya 2000 ndo nimemaliza o-level, nikapata kibarua kwenye kiwanda kimoja cha kukoboa kahawa.... ikatokea kuna mkaka tukapendana kwa hiyo mechi zikawa zinapigwa ofisini either asubuhi kabla wengine hawajaja au mchana wakati wa lunch tunawahi kurudi kabla wengine hawajaja... nainamishwa tu faster nashika meza mchezo unaendelea. Tulinusurika mara kibao kufumaniwa. Ila nikiri tu mapenzi ya kuibia ni matamu sana.inamaana wadada hawana matukio mazuri ya huo mchezo sehemu za hatari naona ni wachache sna mibaba ndio inachangia sn hii mada ....haaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Napenda sn mwanamke mkweli km huyu[emoji8]Hatutaki tu kusema. Mie nakumbuka moja enzi hizo miaka ya 2000 ndo nimemaliza o-level, nikapata kibarua kwenye kiwanda kimoja cha kukoboa kahawa.... ikatokea kuna mkaka tukapendana kwa hiyo mechi zikawa zinapigwa ofisini either asubuhi kabla wengine hawajaja au mchana wakati wa lunch tunawahi kurudi kabla wengine hawajaja... nainamishwa tu faster nashika meza mchezo unaendelea. Tulinusurika mara kibao kufumaniwa. Ila nikiri tu mapenzi ya kuibia ni matamu sana.