Washikadau kwanza pokeeni salamu na shukrani nyingi kwa kutujuza yale tusiyo fahamu.
Kuna hili neno ambalo na shangaa na kuchangyikiwa kila linapotumika. Neno lenyewe ni MAZINGIRA na Mazingara. Kwa kawaida, wengi hutumia maneno yote mawili kumaanisha kile kinachotuzunguka. Lakini, nikitaka kumaanisha superstitions nitaonyesha vipi ikiwa neno ni hilo hilo moja. Muktadha ikiwa haipo itakuwaje?
Mwisho, Dawa iko katika ngeli gani?
Kwenu mliobobea.
Sadakta