Mazingira, Mazingara?

Mazingira, Mazingara?

Sadakta

Member
Joined
Apr 27, 2009
Posts
5
Reaction score
0
Washikadau kwanza pokeeni salamu na shukrani nyingi kwa kutujuza yale tusiyo fahamu.

Kuna hili neno ambalo na shangaa na kuchangyikiwa kila linapotumika. Neno lenyewe ni MAZINGIRA na Mazingara. Kwa kawaida, wengi hutumia maneno yote mawili kumaanisha kile kinachotuzunguka. Lakini, nikitaka kumaanisha superstitions nitaonyesha vipi ikiwa neno ni hilo hilo moja. Muktadha ikiwa haipo itakuwaje?

Mwisho, Dawa iko katika ngeli gani?

Kwenu mliobobea.

Sadakta
 
Mazingara - Mi Nadhani Ni Mazingira ya Kutatanisha/Mazingaombwe, Sijui Kiswahili vizuri "yaani sio mtaalam" labda nimekosea.

B.
 
Washikadau kwanza pokeeni salamu na shukrani nyingi kwa kutujuza yale tusiyo fahamu.

Kuna hili neno ambalo na shangaa na kuchangyikiwa kila linapotumika. Neno lenyewe ni MAZINGIRA na Mazingara. Kwa kawaida, wengi hutumia maneno yote mawili kumaanisha kile kinachotuzunguka. Lakini, nikitaka kumaanisha superstitions nitaonyesha vipi ikiwa neno ni hilo hilo moja. Muktadha ikiwa haipo itakuwaje?

Mwisho, Dawa iko katika ngeli gani?

Kwenu mliobobea.

Sadakta

I Believe ni SWADAKTA na sio SADAKTA!,

B.
 
Mazingira maana yake ni eneo lilizunguka au environment.wakati mazingara maana yake mazingaombwe
 
Mkuu The boss, You have said it all, do I need to say more? Hiyo ndio tofauti halisi ya maneno hayo mawili ingawaje wengi wana tabia ya kuyachang'anya na kuyatumia isivyo.

Tiba
 
Back
Top Bottom