Mazingira safi ya biashara sababu ya ukusanyaji mapato zaidi ya malengo

Mazingira safi ya biashara sababu ya ukusanyaji mapato zaidi ya malengo

Nyabukika

JF-Expert Member
Joined
Jun 15, 2022
Posts
1,440
Reaction score
1,046
Moja kati ya mambo yanayofanya uongozi wa nchi yoyote upendwe ni jitihada za wazi za kustawisha maisha ya wananchi, kutatua kero zao na kutekeleza maono yenye dhamira njema na (1/4) maisha ya watu.

Makusanyo ya Halmashauri yamezidi malengo kwa mara ya kwanza katika miaka 10 iliyopita. Halmashauri zilizofikia malengo ya mwaka zimeongezeka kutoka 57 katika mwaka wa fedha 2020/21, hadi kufikia Halmashauri 100.

Uongozi thabiti wa Rais Samia katika (2/4) kuhakikisha wananchi wanapata huduma bora, mazingira mazuri ya biashara, kuimarishwa kwa mifumo ya utaoji haki, Kutolewa ajira kwa wahitimu ni baadhi tu ya vitu vinavyochochea wananchi kutoa kodi bila kulazimishwa.

Itoshe kusema kwamba Rais Samia Suluhu Hassan ni aina (3/4) ya kiongozi sahihi ambaye watanzania tulimhitaji. Watanzania tumpe ushirikiano wa kutosha ili aweze kuandika historia ya Taifa imara kiuchumi. Viongozi wazembe na wenye tamaa hawana nafasi katika serikali hii makini.
 
Tunafurahi kusikia haya.

Matumizi ya hayo mapato yakasimamiwe kikamilifu.
 
Back
Top Bottom