ubarinolutu
JF-Expert Member
- Oct 22, 2012
- 2,850
- 6,030
Jambo hili limenihuzunisha Sana, Station ya SGR ya Magufuli DSM ni nzuri Sana, kuanzia nje Hadi ndani, kingo za Barbara zimejengewa pavement, na land Scape nzuri flani. Na hii pia inafanana na uwanja WA ndege wa Nyerere Dar.
Sasa njoo hii station ya Samia Dodoma, ukishatoka nje ya fensi , ni vumbi, vifusi, takataka, majani , ni kuchafu Sana. Huyo mkurugenzi anafanya nini ofisini?, hata kama ni road reserve ya Tanroads , tengenezeni landscaping nzuri kutoka kwenye lami mpaka unafika SGR ndani.
Wamama wanauza zabibu vumbi Kila sehemu, basi chukueni chenchi ya el nino mkarekebishe Mazingira, hata ndani ukiwa unatoka na gari ni vumbi Tu.
Sijapiga picha naogopa Kung'olewa meno yangu na pliers