KERO Mazingira ya nje SGR stand ya Samia Dodoma ni mabaya! Kuko rafu

KERO Mazingira ya nje SGR stand ya Samia Dodoma ni mabaya! Kuko rafu

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Jambo hili limenihuzunisha Sana, Station ya SGR ya Magufuli DSM ni nzuri Sana, kuanzia nje Hadi ndani, kingo za Barbara zimejengewa pavement, na land Scape nzuri flani. Na hii pia inafanana na uwanja WA ndege wa Nyerere dark.
Sasa njoo hii station ya Samia Dodoma, ukishatoka nje ya fensi , ni vumbi, vifusi, takaraka, majani , ni kuchafu Sana. Huyo mkurugenzi anafanya nini ofisini, hata kama ni road reserve ya tanroad , tengenezeni landscaping nzuri kutoka kwenye lami mpaka unafika SGR ndani, wamama wanauza zabibu vumbi Kila sehemu, basi chukueni chenchi ya el nino mkarekebishe Mazingira, hata ndani ukiwa unatoka na gari ni vumbi Tu.

Sijapiga picha naogopa Kung'olewa meno yangu na pliers
Bila picha uzi wako ni upotoshajii na uongoo
 
Morogoro kikwete 🙌
Nobody knows and acknowledges the likes of Peter Bakilana anymore.

Watu wamefanya kazi miaka mingi, kwa uadilifu mkubwa, sio wao tu wamefanya kazi, wame mentor mpaka wengine wakafanya kazi kubwa.

Lakini utakaowasikia ni wanasiasa tu.

Wenzetu NASA wameweka bonge la telescope huko angani, 1.5 million km from earth. Kwenye Sun-Earth L2 Lagrange point.

It is so far that light, which traveld at about 299,792.458 km/s , takes 5 seconds to get there.

Hawakulipa telescooe jina la rais, hawakulipa jina la waziri, hawakulioa jina la mbunge, hawakulipa jina la mwanasiasa.

Wamelipa telescope jina la kiongozi wao wa zamani wa NASA. James Webb. Kwa kuenzi kazi aliyoifanya.

Sisi huku kina Peter Bakilana wamesahaulika hakuna anayewajua leo ukiondoka sisi tunaoyajua hayo mashirika na historia zake.

Kila kitu kinapewa majina ya wanasiasa.
 
Duh umenikumbusha my friend Benjamin Bakilana sijui yuko wapi?
 
Hiyo station haiwezi kuwa nzuri yenyewe wala nje yake kwa sababu moja kwanza naomba ni declare interest nje tu ya hiyo station ukivuka barabara kuna nyumba yetu!

Walikuwa na mpango mwaka 2024 ya kuhamisha stand ya magari ya vijijini iende karibu na pale na pale ilipo sasa pawe soko kubwa sana ila mpango umekufa kwa sababu fidia ya zile nyumba haikuwa ya kitoto

Wale ambao nyumba zao ziko front ni wazawa na wajenzi wake bado wako hai
 
Iyo dar station ni kwa sababu mradi wa brt umesaidia pale nje pamekaa vizuri

Mazingira ya Gerezani pale miaka yote yapo vizuri...

Kitu pekee kichafu pale ni yale majengo ya Polisi, maana kitambo yalikiwa hadi yanatiririsha maji machafu upande ilipo barabara ya lami...
 
Hata archicture design tu ya jengo imekaa kiuchafu uchafu tu ,sijui ni eng gani anakula hela za serikali .Kaangalie station ya Mombasa na Nairobi

Uwanja wa arusha nao aisee outdoor na indoor design ni vyuma tu ndo vinaonekana

Ile station ya Nairobi, inavutia sana hata kwa kuitazama tu...

Mchoraji wa lile jengo alitulia na alibuni kitu futuristic...
 
Sawa mkuu umeshinda ,hivi ubunifu wa station ya Dodoma waliresemble nini vile? Ukame ,jangwa au vumbi?
Kuna miamba/mawe kama umetembea Dodoma utayaona. Ya Dar ni Tanzanite ambayo inapatika Tz tu. Sasa tuambiwe yale mabox na vioo ya station za Kenya ubunifu ule ulikuwa inspired na nini.
 
Kuna miamba/mawe kama umetembea Dodoma utayaona. Ya Dar ni Tanzanite ambayo inapatika Tz tu. Sasa tuambiwe yale mabox na vioo ya station za Kenya ubunifu ule ulikuwa inspired na nini.
NImeomba ya Dodoma ,maelezo mengi haya niongezee na ya Morogoro inaresemble nini bwashee
 
Back
Top Bottom