ubarinolutu
JF-Expert Member
- Oct 22, 2012
- 2,850
- 6,030
Jambo hili limenihuzunisha Sana, Station ya SGR ya Magufuli DSM ni nzuri Sana, kuanzia nje Hadi ndani, kingo za Barbara zimejengewa pavement, na land Scape nzuri flani. Na hii pia inafanana na uwanja WA ndege wa Nyerere dark.
Sasa njoo hii station ya Samia Dodoma, ukishatoka nje ya fensi , ni vumbi, vifuzi, takaraka, majani , ni kuchafu Sana. Huyo mkurugenzi anafanya nini ofisini, hata kama ni road reserve ya tanroad , tengenezeni landscaping nzuri kutoka kwenye lami mpaka unafika SGR ndani, wamama wanauza zabibu vumbi Kila sehemu, basi chukueni chenchi ya el nino mkarekebishe Mazingira, hata ndani ukiwa unatoka na gari ni vumbi Tu.
Sijapiga picha naogopa Kung'olewa meno yangu na pliers
Morogoro Jakaya Kikwete @#$%^&Mnaweka siasa mbele kwenye kika kitu. Dar Magufuli, Dodoma Samia.
unategemea nini?
Ila wabongo mnafurahisha sana.Hata archicture design tu ya jengo imekaa kiuchafu uchafu tu ,sijui ni eng gani anakula hela za serikali .Kaangalie station ya Mombasa na Nairobi
Uwanja wa arusha nao aisee outdoor na indoor design ni vyuma tu ndo vinaonekana
Mbona niliona pako poa. Nilipita one day kushangaa kwa nje.Morogoro Jakaya Kikwete @#$%^&
Nazungumzia station kuwa na majina ya wanasiasa. Kwangu mimi stations zote za SGR Dar to Dom zimejengwa vizuri. Hata mdau hapa anazungumzia nje ya station ya Dodoma. Station yenyewe iko vizuri sana.Mbona niliona pako poa. Nilipita one day kushangaa kwa nje.
Hata archicture design tu ya jengo imekaa kiuchafu uchafu tu ,sijui ni eng gani anakula hela za serikali .Kaangalie station ya Mombasa na Nairobi
Uwanja wa arusha nao aisee outdoor na indoor design ni vyuma tu ndo vinaonekana
Hata archicture design tu ya jengo imekaa kiuchafu uchafu tu ,sijui ni eng gani anakula hela za serikali .Kaangalie station ya Mombasa na Nairobi
Uwanja wa arusha nao aisee outdoor na indoor design ni vyuma tu ndo vinaonekana
John F Kennedy AirportMnaweka siasa mbele kwenye kika kitu. Dar Magufuli, Dodoma Samia.
unategemea nini?
Hata archicture design tu ya jengo imekaa kiuchafu uchafu tu ,sijui ni eng gani anakula hela za serikali .Kaangalie station ya Mombasa na Nairobi
Uwanja wa arusha nao aisee outdoor na indoor design ni vyuma tu ndo vinaonekana
Hata archicture design tu ya jengo imekaa kiuchafu uchafu tu ,sijui ni eng gani anakula hela za serikali .Kaangalie station ya Mombasa na Nairobi
Uwanja wa arusha nao aisee outdoor na indoor design ni vyuma tu ndo vinaonekana
Hapo sawa. Nasuburia kuingia ndani tu.Nazungumzia station kuwa na majina ya wanasiasa. Kwangu mimi stations zote za SGR Dar to Dom zimejengwa vizuri. Hata mdau hapa anazungumzia nje ya station ya Dodoma. Station yenyewe iko vizuri sana.
Tutaendelea kukufurahisha mkuu ila ukweli tutaendelea kuusema.Ila wabongo mnafurahisha sana.
Whataboutism.John F Kennedy Airport
Oliv Tambo Int Airport
Jomo Kenyata Int Airport
N.k
Umechelewa sana utakuta yashachakaa.Hapo sawa. Nasuburia kuingia ndani tu.
Sasa hapo kuna ubunifu gani zaidi ya box lenye vioo with no character?View attachment 3698337
View attachment 3698338
View attachment 3698339
Nairobi,Naivasha ,Mombasa Sgr stations
Morogoro kikwete 🙌Mnaweka siasa mbele kwenye kika kitu. Dar Magufuli, Dodoma Samia.
unategemea nini?